SHAFIKI BATAMBUZI WA SINGIDA UNITED, MCHEZAJI BORA WA MAPINDUZI CUP

By Jamhuri Media, 14w ago

Mchezaji Shafik Batambuze wa Singida United amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa michuano ya Mapinduzi Cup. Katika kikosi bora cha michuano hiyo, Singida United imeingiza wachezaji 5 sawa na URA FC ambao wameshika nafasi ya pili baada ya kufungwa na Azam kwa mikwaju ya penati 4-3 iliyowawezesha Azam kutwaa kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo. ...

ZINAZOENDANA

Ni Singida United Vs Mtibwa Sugar fainali Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) 

58m ago

Klabu ya Singida United imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho...

SINGIDA UNITED YATINGA FAINALI FA CUP,SASA USO KWA USO NA MTIBWA SUGAR JIJINI ARUSHA JUNI 2,2018

KLABU ya Singida United imeungana na Mtibwa Sugar kucheza fainali ya Kombe la Shirikisho baada ya kui...

SINGIDA UNITED FAINALI FA CUP, SASA KUSHIRIKI KIMATAIFA

KLABU ya Singida United imeungana na Mtibwa Sugar kucheza fainali ya Kombe la Shirikisho baada ya kui...

Singida United yatinga fainali kibabe

2h ago

Singida United, Mtibwa Sugar zinakutana kwa mara ya kwanza katika fainali ya Kombe la FA

Kocha Mtibwa afunguka ubora wa Dilunga

1d ago

Ni ukweli usiopingika kwamba kwa sasa Hassan Dilunga yupo kwenye kiwango cha juu miongoni mwa wacheza...

Hesabu kali! Simba, Yanga jipangeni

1d ago

VIGOGO wa soka mkoani Mbeya sio wa kuchezea kabisa unaambiwa, na kama mikakati yao itakwenda kama wal...

Kuna Bocco wa Azam na wa Simba

2d ago

HEBU tafakari hii kidogo. Matajiri wa Azam wako mbele ya Luninga zao. Channel waliyoweka ni Azam Spor...

Sababu fainali FA Cup kupelekwa Arusha zatajwa

3d ago

TFF imetangaza mchezo wa fainali ya Azam Sports Federation Cup itachezwa Juni 2, 2018 kwenye uwanja w...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek