Ubingwa wa Mapinduzi Cup 2018 ilioutwaa klabu ya Azam, unaifanya klabu hiyo ya Tanzania bara kuandika historia mpya katika mashindano hayo baada ya kuifunga URA kwa penati 4-3 kwenye mchezo wa fainali ulioshuhudia dakika 90 zikikatika huku timu hizo zikiwa hazijafungana. Azam imekuwa klabu ya kwanza kubeba kombe la mapinduzi mara nyingi kuliko vilabu vyote […]
Klabu ya Singida United imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho...
VIGOGO wa soka mkoani Mbeya sio wa kuchezea kabisa unaambiwa, na kama mikakati yao itakwenda kama wal...
HEBU tafakari hii kidogo. Matajiri wa Azam wako mbele ya Luninga zao. Channel waliyoweka ni Azam Spor...
TFF imetangaza mchezo wa fainali ya Azam Sports Federation Cup itachezwa Juni 2, 2018 kwenye uwanja w...
Magoli mawili ya kiungo mshambuliaji wa Mtibwa Sugar Hassan Dilunga yameipeleka fainali Mtibwa y...
Safari ya Stand United kuwania ubingwa wa Azam Sports Federation Cup imekatishwa na kwenye uwanja wao...
Baada ya ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Stand United katika mchezo wa nusu fainali ya Azam Sports Fed...
Magoli mawili ya kiungo mshambuliaji wa Mtibwa Sugar Hassan Dilunga yameipeleka fainali Mtibwa ya Aza...