AZAM FC Wachukua Kombe la Mapinduzi....Waichapa URA ya Uganda

By Udaku Specially, 6d ago

Mabingwa watetezi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi Azam FC Usiku wa January 13 2017 walikuwa Zanzibar katika uwanja wa Amaan kutetea taji lao la Mapinduzi Cup kwa kucheza dhidi ya URA ya Uganda.Azam FC wakiongozwa na kocha wao Cioba wamefanikiwa kutetea taji hilo, licha ya kuwa mchezo ulikuwa mgumu na dakika 90 kumalizika kwa sare tasa.Majibu ya kuamua kati ya Azam FC na URA nani atakuwa Bingwa wa Kombe la Mapinduzi 2018, yalijulikana baada ya dakika 120 kumalizika ndio mikwaju ya penati ikaipa Azam FC ushindi kwa penati 4-3, Azam FC sasa wanafanikiwa kutetea taji lao walilotwaa 2017 kwa kuif...

ZINAZOENDANA

Okwi Ampagawisha Kocha Mpya wa Simba

KIKOSI cha Simba,  Alhamisi kilijitanua kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka n...

Wazungu Washindwa Kumuondoa Ndemla Simba

KIUNGO wa Simba, Said Ndemla, sasa anajiandaa kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuwepo Msimbazi huku ...

Kocha Simba Sc Amtolea 'Povu' Mavugo

KOCHA Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma amesema kuwa ushindi ambao timu yake iliyoupata jana Alhamisi k...

Zile bao 4 za Simba, Dalali anahusika

20m ago

MWENYEKITI wa zamani wa Simba, Hassan Dalali, amejipa ujiko kwa kudai kuwa juhudi zake za kuhamasisha...

Rungu la kamati ya maadili ya TFF lawaangukia viongozi wanne wa soka nchini

40m ago

Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) imetoa hukumu dhidi ya viongozi wanne ...

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

40m ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na watumishi wa Wizara ya M...

Ile ishu ya Ndemla kwenda Sweden imefikia hatua hii

1h ago

KIUNGO wa Simba, Said Ndemla, sasa anajiandaa kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuwepo Msimbazi huku ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek