EXCLUSIVE: Dalali Mwingine Amuumbua Diamond, Asema Diamond Kapangisha Hajanunua Mjengo

By Udaku Specially, 18w ago

Baada ya Dalali wa kwanza kusema Diamond Platnumz amenunua mjengo mpya aliopost tena kwa Tsh. Bilioni Moja, Dalali mwingine ameibuka na kuzungumza ukweli na kusema Diamond hajanunua bali amepangisha kwani yeye ndo mtu wa kwanza kuutangaza mjengo ule kwa ajili ya kupangisha.Dalali huyo ambaye jina lake maarufu anaitwa Dalali Kiongozi amesema kuwa nyumba hiyo ilikuwa inapangishwa na hata Dalali Skoba wakati anamleta Diamond tayari alikuwa kashaulizwa yeye kwani yeye ndiye alikuwa anaujua huo mjengo na kuongezea kuwa mjengo huo awali ulikuwa unapangishwa kwa millioni 3 kwa mwaka..Bonyeza PLAY kum...

ZINAZOENDANA

Mpiga Picha wa Diamond 'Lukamba'Afunguka Ishu ya Hamisa na Zari

14h ago

Kuna kipindi Mpiga picha wa Diamond, Lukamba alioneka katika picha moja na mwanamitindo Hamisa Mobett...

Mpiga Picha wa Diamond 'Lukamba' afafanua ishu ya Hamisa na Zari

16h ago

Kuna kipindi Mpiga picha wa Diamond, Lukamba alioneka katika picha moja na mwanamitindo Hamisa Mobett...

Madee Atofautiana na Diamond Kuhusu Malezi ya Watoto.

18h ago

Msanii wa muziki Bongo kutoka Tip Top Connection, Madee amesema iwapo wanae wa kike, Aimal Hamad  ...

Madee Atofautiana na Diamond Kuhusu Malezi ya Watoto.

18h ago

Msanii wa muziki Bongo kutoka Tip Top Connection, Madee amesema iwapo wanae wa kike, Aimal Hamad  ...

Diamond Kuja na Wasafi Festival

19h ago

Msanii diamond platinumz ametangaza rasmi kuhusu kufanya festival kubwa mwaka huu itakayojulikana kam...

Diamond atangaza ujio wa tamasha la Wasafi Festival mwaka huu

20h ago

Diamond Platnumz ni mfanyabiashara ambaye anatumia kila fursa inayopita mbele yake bila ya kuogopa ch...

Siamini Kama Hamisa Kapigwa na Mama Diamond;- Mama Mobeto

20h ago

Mama mzazi wa mwanandada Hamisa Mobeto amekanusha kabisa tetesi zinazodi kusambaa katika mitandao ya ...

Diamond Kuja na Wasafi Festival Mwaka Huu

20h ago

Diamond Platnumz ni mfanyabiashara ambaye anatumia kila fursa inayopita mbele yake bila ya kuogopa ch...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek