Mbunge wa CHADEMA atangaza adhabu kali ya kupewa endapo atajiunga CCM

By Swahili Times, 14w ago

Mbunge wa Jimbo la Mbozi mkoani Songwe kupitia CHADEMA, Paschal Haonga amesema hana mpango na wala hayuko tayari kuhama chama hicho na endapo ikatokea akahama, wananchi wachome moto nyumba yake anayoishi na familia yake. Haonga ametoa kauli wakati akizungumza na wapiga kura wake katika mwendelezo wa mikutano yake jimboni humo. Ametoa msimamo huo ikiwa ni njia ya kuwatoa hofu wapigakura wake baada ya kuwepo kwa tetesi kuwa mbunge huyo naye ni miongoni mwa wabunge wanaohisiwa kuendelea kukihama chama hicho. Kauli ya Haonga imekuja wakati wimbi kubwa la viongozi wa CHADEMA wakiendelea kumtimkia C...

ZINAZOENDANA

Utabiri hali ya upinzani 2020

5h ago

Kuna madai kuwa Tanzania itaingia katika Uchaguzi Mkuu ujao ikiwa na ushindani dhaifu wa upinzani dhi...

UVCCM YACHAMBUA UTENDAJI WA DK. SHEIN

5h ago

Na Mwandishi Wetu-Zanzibar UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umechambua utendaji kazi w...

Polepole: CCM Haijamkosoa CAG, CHADEMA Ndo Waliomkosoa

19h ago

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya CCM, Humphrey PolePole amefunguka na kusema kuwa wao k...

Joseph Selasini aanza kusakamwa

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Rombo, Joseph Selasini, naye ameanza kuonja “machungu ya utaw...

Polepole: CCM Haijamkosoa CAG......CHADEMA Ndo Waliomkosoa

22h ago

Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya CCM, Humphrey PolePole amefunguka na kusema kuwa wao k...

CCM yaapa kutoa ushirikiano katika vita dhidi ya rushwa

23h ago

Musoma. Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mara kimeahidi kushirikiana na vyombo na mamlaka husika ku...

Rais Magufuli atuma salamu za pole kwa Familia ya Masogange

24h ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia y...

Rais Magufuli aguswa na kifo cha Masogange

1d ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia y...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek