AZAM TENA BINGWA MPYA MAPINDUZI CUP 2018 'YAITWANGA URA KWA MATUTA'

By Full Shangwe Blog, 7d ago

WAKATI ikitwaa taji la Kombe la Mapinduzi kwa mara ya pili mfululizo usiku huu, Azam FC imeandika rekodi mpya kwenye michuano hiyo baada ya kuwa ndio timu iliyolitwaa mara nyingi. Mabingwa hao wamelitwaa taji hilo mara nne sasa, mara ya kwanza ililitwaa mwaka 2012 na kulibeba tena 2013 kabla ya kulichukua tena mara mbili mfululizo …

ZINAZOENDANA

Okwi Ampagawisha Kocha Mpya wa Simba

16h ago

KIKOSI cha Simba,  Alhamisi kilijitanua kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka n...

Video-Okwi alivyotakata wakati simba ikitoa dozi kwa Singida United

2d ago

Lleo januari 18, 2018 igi Kuu Tanzania bara msimu wa 2017/18 imeendelea kwa michezo miwili, Azam FC w...

AZAM YAMINYWA NA MAJIMAJI, YAKUBALI SARE YA 1-1

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Majimaji katika m...

Simba imeiadhibu Singida leo, Okwi akimaliza game

2d ago

Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2017/2018 imeendelea leo kwa michezo miwili kuchezwa Azam FC wakiwa S...

AZAM YAMINYWA NA MAJIMAJI, YAKUBALI SARE YA 1-1

2d ago

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Majimaji katika m...

OKWI NA UFUNGAJI BORA WA VPL

2d ago

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Ikiwa ni katika kuhakikisha anabeba kiatu cha ufungaji bora msimu wa...

Polisi kuwashughulikia wanaoosha vioo vya magari barabarani

2d ago

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema bado linaendelea na operesheni ya kuwakamata v...

AzamTV App yapakuliwa zaidi ya mara milioni moja

2d ago

Programu tumishi (App) ya AzamTV ambayo ilianza kupatikana kuanzia julai mosi mwaka 2017 katika duka ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek