WANANCHI MKOANI MARA WAITIKIA WITO WA MKUU WA MKOA KUSAJILIWA VITAMBULISHO VYA TAIFA

By Issa Michuzi, 14w ago

Wananchi mkoani Mara wamejitokeza kwa wingi kutekeleza agizo la Mkuu wa Mkoa Mhe. Adam Kighoma Ali Malimaambaye amewataka wakazi wote wa mkoa huo kuhakikisha wanasajiliwa Vitambulisho vya Taifa ndani ya miezi mitatu ya zoezi hilo linaloendelea katika Wilaya zote za mkoa huo.Akizungumzia mwitikio wa wananchi katika kutekeleza agizo hilo; Afisa Usajili Wilaya ya Musoma Bi. Ohana Gerald amesema mwitikio mkubwa wa watu ndiyo umepelekea kwa Wilaya ya Musoma Manispaa; zoezi la usajili kuwa  limekamilika na sasa zoezi linaendelea katika Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Vijijini na ...

ZINAZOENDANA

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima apiga marufuku wananchi kupiga yowe

6w ago

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima, amepiga marufuku utaratibu wa wananchi wa vijiji vitatu vya Remng√...

Waziri Mkuu Aagiza Kufunguliwa Kwa Zahanati Ya Bugabu

9w ago

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima wakizungumza na Noella Tekela, mwan...

Waziri Mkuu Aagiza Kufunguliwa Kwa Zahanati Ya Bugabu

9w ago

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima wakizungumza na Noella Tekela, mwan...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ziarani Mkoa wa Mara

9w ago

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima wakizungumza na Noella Tekela...

PROF. MBARAWA AAHIDI KUKAMILIKA KWA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA

9w ago

Serikali imesema ujenzi wa daraja la mto Mara lenye urefu wa mita 94 lililopo katika barabara ya Tari...

RC MARA TOKOMEZA UVUVI HARAMU ZIWA VICTORIA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza  Mkuu wa Mkoa wa Mara, Bw. Adam Malima kwa kushirikiana na ...

RC MARA TOKOMEZA UVUVI HARAMU ZIWA VICTORIA-MAJALIWA

13w ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza  Mkuu wa Mkoa wa Mara, Bw. Adam Malima kwa kushirikiana n...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek