Azam FC yazikalisha Simba na Yanga kwenye historia ya Kombe la Mapinduzi

By Bongo 5, 1w ago

Klabu ya Azam FC jana usiku imefanikiwa kutetea kombe la Mapinduzi kwa kuifunga klabu ya URA kutoka Uganda kwa goli 4-3 kwa changamoto ya mikwaju ya penati baada ya kutoka sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 za kawaida. Ushindi huo wa jana wa Azam FC unakuwa ni ushindi wa nne tangu kuanzishwa kwa michuano […]

ZINAZOENDANA

Serikali yatoa Msimamo wake kwa Klabu ya Simba kuhusu suala la uwekezaji

39m ago

Serikali imetoa msisitizo kwa Klabu ya Mchezo ya Simba kuzingatia sheria na kanuni zinayosimamia sual...

Azam yaiteremsha Simba kileleni

51m ago

Simba, Azam na Yanga ambazo ni timu vigogo Ligi Kuu zimekuwa na ushindani ili kuhakikisha kila moja i...

Sahau kuhusu Simba na Yanga SC, Azam FC hawakamatiki VPL

2h ago

Ukitoa klabu za Simba na Yanga SC, Klabu ya Azam FC imefanya kweli kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzani...

Goli la Yanga VPL lililopatikana baada ya kucheza dakika 225 bila kufunga

2h ago

Yanga leo alicheza game yake ya tatu ya Ligi Kuu dhidi ya Ruvu Shooting akiwa kacheza game mbili za m...

Buswita arejesha kicheko Jangwani

2h ago

Ushindi wa Yanga umeisogeza hadi nafasi ya tatu ikiifuatia Simba yenye pointi 29.

Usisahau kuwa Yanga imecheza na Ruvu Shooting leo

3h ago

Baad ya Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara club ya Yanga kutopata ushindi kwa michezo miwili...

Baada ya kusota dakika 180 bila ushindi, Yanga imeshinda

3h ago

Baada ya kucheza mechi mbili za ligi bila ushindi, Yanga leo imejipoza kwa Ruvu Shooting kwa kuifunga...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek