Serikali yaufungua mgodi wa Buhemba

By Dewji Blog, 14w ago

Hatimaye Serikali imefungua Migodi ya Dhahabu ya Wachimbaji Wadogo iliyopo katika eneo la Buhemba Wilaya ya Butiama Mkoani Mara baada ya kujiridhisha hali ya usalama katika migodi hiyo. Migodi hiyo imefunguliwa rasmi na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo na kushuhudiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Butiama, Annarose Nyamubi. Akizungumza katika tukio hilo, Nyongo alisema eneo la Buhemba lina jumla ya migodi ya dhahabu 16 ambayo inamilikiwa na wachimbaji wadogo hata hivyo iliyokidhi vigezo vya kiusalama ni migodi 10 pekee ambayo imeruhusiwa kuendeleza shu...

ZINAZOENDANA

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima apiga marufuku wananchi kupiga yowe

6w ago

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima, amepiga marufuku utaratibu wa wananchi wa vijiji vitatu vya Remng√...

Waziri Mkuu Aagiza Kufunguliwa Kwa Zahanati Ya Bugabu

9w ago

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima wakizungumza na Noella Tekela, mwan...

Waziri Mkuu Aagiza Kufunguliwa Kwa Zahanati Ya Bugabu

9w ago

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima wakizungumza na Noella Tekela, mwan...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ziarani Mkoa wa Mara

9w ago

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima wakizungumza na Noella Tekela...

PROF. MBARAWA AAHIDI KUKAMILIKA KWA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA

9w ago

Serikali imesema ujenzi wa daraja la mto Mara lenye urefu wa mita 94 lililopo katika barabara ya Tari...

RC MARA TOKOMEZA UVUVI HARAMU ZIWA VICTORIA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza  Mkuu wa Mkoa wa Mara, Bw. Adam Malima kwa kushirikiana na ...

RC MARA TOKOMEZA UVUVI HARAMU ZIWA VICTORIA-MAJALIWA

13w ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza  Mkuu wa Mkoa wa Mara, Bw. Adam Malima kwa kushirikiana n...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek