Yafahamu Madhara ya Kiafya ya Kulala Kupita Kiasi

By Udaku Specially, 1w ago

Harakati za maisha na shughuli za hapa na pale za binadamu huwafanya wengi kushindwa kupumzika na matokeo yake kutumia usingizi kama sehemu ya mapumziko.Utafiti uliofanyika hivi karibuni nchini Korea unaonyesha kuwa, binadamu anaweza kupata madhara makubwa kiafya endapo atalala kupita kiasi.Kwa Mujibu wa Daktari Evan Rosenbuth, ripoti ya utafiti huo inaainisha madhara hayo kuwa ni pamoja na kuleta hitilafu kwenye utandaji kazi wa ubongo, hivyo mhusika kuchukua muda mrefu katika kufikiri tofauti na mtu anayelaal kwa wastani.'€œUtafiti  huo unakwenda mbali zaidi na kueleza kuwa, kulala ...

ZINAZOENDANA

Waziri Mkuu Aagiza DED, DT na Ofisa Manunuzi wachunguzwe

4m ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara Bw. Raphael Nyanda kutuma ...

Gharama za fomu za kumiliki Ardhi, changamoto kwa Wananchi Mkoa wa Kusini Unguja

12m ago

Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wameiomba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwapunguzia gharama ya...

Serikali yatoa Msimamo wake kwa Klabu ya Simba kuhusu suala la uwekezaji

32m ago

Serikali imetoa msisitizo kwa Klabu ya Mchezo ya Simba kuzingatia sheria na kanuni zinayosimamia sual...

Azam yaiteremsha Simba kileleni

44m ago

Simba, Azam na Yanga ambazo ni timu vigogo Ligi Kuu zimekuwa na ushindani ili kuhakikisha kila moja i...

Telkom Kenya yapiga Scorpions ya Ghana 1-0 kuongoza jedwali

1h ago

MABINGWA watetezi Telkom Kenya wamemaliza siku ya pili ya mashindano ya magongo ya Klabu Bingwa Afrik...

Bekele kujaribu kubwaga Mo Farah London Marathon

1h ago

MUETHIOPIA Kenenisa Bekele ametangaza atawania taji la London Marathon dhidi ya Muingereza Mo Farah n...

Kenya yafagia nafasi 3 za kwanza mbio za Italica

1h ago

AGNES Jebet Tirop ameongoza Wakenya kufagia nafasi tatu za kwanza za mbio za nyika za kimataifa za It...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek