Sumaye awachana wanaohama Vyama

By Mtembezi, 14w ago

Waziri Mkuu mstaafu na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ukanda wa Pwani, Fredrick Sumaye amedai wabunge na madiwani wanaohama vyama na kupelekea uchaguzi kufanyika tena ni matumizi mabaya ya fedha za wananchi na ufisadi pia. Mzee Sumaye ambaye aliondoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi wakati wa uchaguzi Mkuu 2015 na kuhamia Chadema […] The post Sumaye awachana wanaohama Vyama appeared first on Mtembezi.

ZINAZOENDANA

Rais wa Botswana amtaka Kabila asigombee tena

5h ago

Rais mpya wa Botswana, Mokgweetsi Masisi amemtaka Rais Joseph Kabila kutojitokeza tena kuwania urais ...

Mwenyekiti AFP Z'bar awaza Uchaguzi Mkuu wa 2020

23h ago

Ikiwa imesalia miaka miwili kabla ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kufanyika, baadhi ya wanasiasa visiw...

Spika aagiza wabunge upinzani kupewa Ilani Uchaguzi ya CCM

1d ago

SPIKA Job Ndugai ameiagiza Ofisi ya Katibu wa Bunge, kuhakikisha wabunge wote wanagawiwa nakala za Il...

Hatma ya askari waliokuwa wameshikiliwa kuhusu mauaji ya Akwilina

1d ago

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), Biswalo Mganga amelifunga rasmi jalada la kesi ya aliyekuwa mwan...

Kuelekea uchaguzi mkuu DRC,Tume ya uchaguzi yawakamata watu waliojiandikisha zaidi ya mara moja

2d ago

Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewafungulia mashtaka watu 267,000 waliobai...

CHADEMA wamjibu Polepole kuhusu tuhuma za ufisadi wa bilioni 2 na hati chafu (video)

2d ago

Kufuatia tuhuma zilizotolewa na Katibu Mwenezi na Itifaki wa CCM, Humphrey Polepole kuwa CHADEMA ni m...

Chadema: Si Trilioni 1.5 tu Kuna Pesa Kibao Zimepigwa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefanya mkutano na waandishi wa habari na kuudai kwamb...

Viongozi saba wa Chadema waripoti polisi

2d ago

Ni viongozi tisa wa Chadema waliosomewa mashtaka ya uchochezi na kukaidi amri ya polisi.

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek