Waziri Nchemba aahidi kutoa mifuko ya saruji na nondo kwa ajili ya ujenzi wa zahanati

By Dewji Blog, 18w ago

Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Iramba magharibi mkoa wa Singida amehaidi kumalizia mifuko 200 ya saruji na nondo 100 ili kukamilisha ujenzi wa zahanati ya kata ya Kinampanda ambayo imekosekana kwa miaka mingi. Waziri Nchemba amezungumza hayo baada ya kufika nakujiona hali ya kuridhisha ya ujenzi wa zahanati ya kata ya kinampanda ambao unafadhiliwa na ofisi ya mbunge wa jimbo akishirikiana na wananchi ambao wanachangia ujenzi huo. “Kwa hatua ambayo mmeshafika hatuko mbali sana wiki ijayo nitashuhulikia tupate saruji na nondo na nitaongea na ...

ZINAZOENDANA

Mwigulu aagiza kutolewa vibali vya mikutano

1w ago

Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza jeshi la Polisi nchini kuruhusu taasisi za dini...

Waziri Nchemba atoa agizo kwa jeshi la Polisi kuhusu Vibali vya Mikutano

Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza jeshi la Polisi nchini kuruhusu Taasisi za di...

Waziri Nchemba atoa agizo kwa jeshi la Polisi kuhusu Vibali vya Mikutano

1w ago

Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza jeshi la Polisi nchini kuruhusu Taasisi za di...

Waziri Mwigulu atoa agizo zito kwa jeshi la Polisi kuhusu Taasisi za dini

1w ago

Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza jeshi la Polisi nchini kuruhusu taasisi za di...

Viongozi 12 hawajulikani walipo - Mbunge Bwege

2w ago

Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Bungara kwa tiketi ya CUF amefunguka na kusema kuwa kuna viongozi kum...

Viongozi 12 Hawajulikani Walipo - Mbunge Mbwege

Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Bungara kwa tiketi ya CUF amefunguka na kusema kuwa kuna viongozi kum...

Waziri Dkt Nchemba atoa majibu ya watu 'waliotoweka' nchini

2w ago

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt Mwigulu Nchemba amesema kuwa baadhi ya watu waliosemekana kupot...

'Waziri Nchemba Kwanini Tunazuiwa Kufanya Mikutano?' Mbunge Chadema

Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Upendo Peneza amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Mwigulu Nchemba ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek