Julio akubali 'kiroho safi' kichapo ligi daraja la kwanza

By Shaffih Dauda, 9w ago

Kocha wa Dodoma FC Jamhuri Kihwelu Julio' amekubali 'kiroho safi' kwamba timu yake imepoteza mchezo wake dhidi ya Rhino Rangers ya Tabora kwenye mechi ya Kundi C ligi daraja la kwanza iliyochezwa uwanja wa Ali Hassani mwinyi Tabora. Julio amekiri kwamba timu yake imepoteza mchezo dhidi ya Rhino kwa mabao safi ambayo hayakuwa na tatizo […]

ZINAZOENDANA

Ndoto ya Simba yafia Misri

2h ago

Tumaini pekee la Simba kucheza mashindano ya kimataifa msimu ujao ni kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ...

Deportivo La Coruna yatoka sare na Las Palmas La Liga

4h ago

Klabu ya Deportivo La Coruna imetoka sare ya goli 1 - 1 dhidi ya Las Palmas mchezo wa ligi ya ...

Yanga yaangukia Kombe la Shirikisho Afrika

5h ago

Baada ya kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika, nahodha ya Yanga, Nadir Haroub amesema wanahitaji k...

Yanga yaangukia Kombe la Shirikisho Afrika

5h ago

Baada ya kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika, nahodha ya Yanga, Nadir Haroub amesema wanahitaji k...

Simba ikishinda, kila mchezaji Sh 5Mil

5h ago

Vinara hao wa Ligi Kuu Bara wanajivunia rekodi yao ya kuitoa Zamalek mwaka 2003

KCB yatinga fainali Kenya Cup

6h ago

Mabingwa watetezi KCB wametinga fainali ya Ligi Kuu ya Raga (Kenya Cup) ya msimu 2017-2018 baada ya k...

Nzoia Sugar yaizidi nguvu Zoo Kericho katika ushindi wa 2-1

7h ago

Nzoia Sugar FC imetoka chini bao moja na kuzima Zoo Kericho 2-1 kwenye Ligi Kuu uwanjani Sudi mjini B...

Rekodi za Simba, Yanga, zinapocheza kimataifa ugenini

Na Baraka MbolemboleKUELEKEA mchezo wao wa kumi wa Ligi ya Mabingwa Afrika Afrika, rekodi ya Yanga SC...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek