DKT. FAUSTINE AWAAGIZA VIONGOZI WA MKOA WA RUKWA KUTOKOMEZA UDUMAVU UNAOSABABISHWA NA LISHE DUNI.

By Issa Michuzi, 14w ago

Na WAMJWW. RUKWA-SUMBAWANGANaibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Rukwa kuhakikisha wanapambana na kutokomeza udumavu kwa watoto unaosababishwa na ukosefu wa Lishe bora.Ameyasema hayo akiwa katika muendelezo wa ziara yake ya kukagua shughuli za utoaji huduma za Afya, na uhamasishaji wa vikundi vidogo vidogo vya wanaweke vya ujasiriamali katika Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa.'€Mkoa wa Rukwa haupaswi kuwa na utapiamlo hata kidogo, asilimia 60 ya udumavu ndani ya Rukwa ni kiasi kikubwa sana, katika mkoa ambao...

ZINAZOENDANA

Ongezeko la Maradhi ya Matumbo Zanzibar lawashtua viongozi

2d ago

Jamii imetakiwa kuchukua tahadhari juu ya Ongezeko la Maradhi ya Matumbo ya kuharisha ambayo yameanza...

WANANCHI WATAHADHARISHWA ONGEZEKO MARADHI YA MATUMBO YA KUHARISHA ZANZIBAR

3d ago

Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar Jamii imetakiwa kuchukua tahadhari juu ya Ongezeko la Maradhi ya ...

Dodoma Yatajwa Kuongoza Kwa Ugonjwa wa Kipindupindu

Dodoma imetajwa kuongoza kwa idadi kubwa ya wagonjwa wa kipindupindu. Kati ya wagonjwa 1,448 wa nchi ...

TIT 4 TAT: Wazanzibari munatakiwa kugomea Bidhaa za TANGANYIKA

2w ago

Asalamu aleikhum nduguzangu Wazanzibari muliko Visiwani na kule Tanganyika. Kama tulivoona siku ziliz...

Rais Magufuli Aagiza wafanyabiashara wadogo wa Stendi Morogoro Wasibughudhiwe.....

6w ago

Mwanamke aliyejitambulisha kwa jina  moja la Avintishi, leo amejitoa kimasomaso na kumueleza Rai...

Wakimbia vita DRC wafa kwa kipindupindu Uganda

8w ago

 Watu wanaweza kukimbia vita, baa la njaa au janga jingine lolote wakaenda kuishi sehemu salama la...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek