MATOKEO: CCM yavigaragaza vyama vya upinzani kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge

By Bongo 5, 1w ago

Baada ya mbio ndefu za uchaguzi mdogo wa ubunge katika majimbo matatu hatimaye matokeo yametoka ambapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi  kwenye majimbo yote ya matatu ya Songea Mjini, Singida Kaskazini na Longido. Akitangaza matokeo katika jimbo la Songea Mjini, msimamizi wa uchaguzi, Tina Sekambo amemtangaza Dkt Damas Ndumbaro kuwa mshindi kwa kupata kura […]

ZINAZOENDANA

KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA SIHA CHAMA CHA MAPINDUZI CHASISITIZA KUICHAGUA CCM NI KUCHAGUA MAENDELEO

22 Januari 2018,  Katika kampeni za uchaguzi mdogo Jimbo la Siha Kata ya Ngarenairobi, Katibu wa N...

MBUNGE MGIMWA NIPO TAYARI KUNYIMWA KURA KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA 2020

  Mbunge wa jimbo la Mufindi kaskazini Mahamuod Mgimwa aikiongea na baadhi ya walimu wa shule za...

VIDEO: Ridhiwan akanusha '€œSio mimi niliesema CCM imeoza'€

6h ago

Jioni ya January 22 2017 kwenye mitandao ya kijamii kulizagaa taarifa kutokea kwenye ukurasa wa Insta...

Video: Mbunge Ridhiwani Kikwete akanusha ujumbe unaosambazwa mitandoni kumuhusu

7h ago

Mbunge wa Chalinze kupitia Chama cha Mpainduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete amekanusha ujumbe unaosambazw...

Wanachama 139 wa CHADEMA Wahamia CCM Simanjiro

10h ago

WANACHAMA 139 wa Chadema wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro, wamejiunga na CCM na kupokelewa...

Maulid Mtulia wa CCM Awekewa Pingamizi

10h ago

Wakati kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge katika majimbo ya Kinondoni na Siha, zikianza kwa vitimbi,...

UVCCM: Mgombea wa CHADEMA Ni sawa na Bibi Harusi

11h ago

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi, Kheri James amemfananisha Mgombea Ubunge, Jimbo...

Mbowe atoa onyo kali

11h ago

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefunguka na kuionya Tume y...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek