Wananchi wafunguka baada ya Mh. Lowassa kuonana na Rais Magufuli (+Video)

By Bongo 5, 14w ago

Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli alikutana na kufanya mazungumzo na aliyekuwa Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa. wananchi wametoa nini maoni yao baada ya viongozi hao kuonana na wanasiasa nchini wajifunze nini.Tazama video hii wakieleza; Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram […]

ZINAZOENDANA

Rais wa Syria aikataa tuzo aliyopewa na Ufaransa, aeleza sababu

3m ago

Syria imerejesha kwa Ufaransa tuzo ya L©gion d’honneur aliyopewa Rais Bashar al-Assad, ikise...

Masogange awakutanisha Kiba, Diamond

13m ago

Wasanii wa Bongo Freva, Ali Kiba na Naseeb Abdul 'Diamond' wamekutana na wamesalimiana kwa kupeana mi...

Rais Magufuli atuma salamu za pole kwa Familia ya Masogange

47m ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia y...

Rais Magufuli aguswa na kifo cha Masogange

2h ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia y...

Salamu za Rais Dkt Magufuli kwa familia ya Agnes Masogange

2h ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kupitia kwa Mwenyekiti wa Umoja wa V...

Kashfa ya upotevu wa fedha Zimbabwe,Kamati ya Bunge yapanga kumuita aliyekuwa Rais Robert Mugabe kujibu

2h ago

Bunge nchini Zimbabwe limesema kuwa Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ametakiwa kufika mbele...

Diamond na Alikiba wazua gumzo kwenye tukio la kuuaga mwili wa Masogange (+video)

2h ago

Wasanii wakubwa wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Alikiba na Diamond Platnumz leo Aprili 22, ...

Shein afurahia Egyptair kuanzisha safari

2h ago

RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, ameipongeza azma ya Shirika la Ndege la Misri (Egyptair) ya k...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek