Sasha Kassim Alilia Picha za Nusu Utupu Mitandaoni

By Udaku Specially, 1w ago

MUUZA nyago machachari Bongo, Sasha Kassim amesema kitendo cha Naibu Waziri wa Habari Sanaa na Michezo, Juliana Shonza kulivalia njuga suala la picha za utupu mtandaoni linamtesa mno kisaikolojia hadi kufikia hatua ya kulia kwani picha hizo zimembadilisha kimaisha.Akizungumza na Mikito Nusunusu, Sasha alisema kuwa jambo hilo limemuumiza mno kwani moja ya sababu inayomtesa na kumuathiri kisaikolojia ni kwamba, picha hizo zimempa madili mengi ya kumuingizia pesa ikiwemo matangazo ya biashara.'€œNaumia mno, picha nilizokuwa napiga kwanza ni starehe yangu, lakini pia zimebadilisha maisha yangu...

ZINAZOENDANA

Waziri Mkuu Aagiza DED, DT na Ofisa Manunuzi wachunguzwe

3m ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara Bw. Raphael Nyanda kutuma ...

Gharama za fomu za kumiliki Ardhi, changamoto kwa Wananchi Mkoa wa Kusini Unguja

11m ago

Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wameiomba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwapunguzia gharama ya...

Serikali yatoa Msimamo wake kwa Klabu ya Simba kuhusu suala la uwekezaji

31m ago

Serikali imetoa msisitizo kwa Klabu ya Mchezo ya Simba kuzingatia sheria na kanuni zinayosimamia sual...

Azam yaiteremsha Simba kileleni

43m ago

Simba, Azam na Yanga ambazo ni timu vigogo Ligi Kuu zimekuwa na ushindani ili kuhakikisha kila moja i...

Telkom Kenya yapiga Scorpions ya Ghana 1-0 kuongoza jedwali

1h ago

MABINGWA watetezi Telkom Kenya wamemaliza siku ya pili ya mashindano ya magongo ya Klabu Bingwa Afrik...

Bekele kujaribu kubwaga Mo Farah London Marathon

1h ago

MUETHIOPIA Kenenisa Bekele ametangaza atawania taji la London Marathon dhidi ya Muingereza Mo Farah n...

Kenya yafagia nafasi 3 za kwanza mbio za Italica

1h ago

AGNES Jebet Tirop ameongoza Wakenya kufagia nafasi tatu za kwanza za mbio za nyika za kimataifa za It...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek