Watumbuliwa kwa kukaidi agizo la Rais Magufuli

By Edwin Moshi, 1w ago

Walimu wakuu wa shule 3 za wilayani Muheza mkoani Tanga wamekamatwa na jeshi la polisi kwa kuchukua fedha, kwa ajili ya kuwaandikisha wanafunzi wa darasa la awali na la kwanza katika shule hizoAkizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Wilaya ya Muheza Bi. Mwanasha Tumbo, amesema alibaini kuwa walimu hao wanachukua fedha kinyume na agizo la Rais la kutoa elimu bure kuanzia elimu ya msingi hadi sekondari, na kuagiza kuchukuliwa hatua ikiwemo kuvuliwa madaraka na kufikishwa polisi.Walimu hao ambao ni wa shule ya msingi Mwambao, Bi. Jackline Mjenga, Shule ya Msingi Majengo Fatuma Asaraji na wa sh...

ZINAZOENDANA

Babu Seya na Papi Kocha Kuwaanda Mashabiki Kwa Ujio Mpya.

Wasanii wa muziki wa dansi baba na mtoto wake wameanza kuwandaa mashabiki wao kukaa mkao wa kula kwa ...

Juma Nyosso Akamatwa na Polisi

Jeshi la Polisi Mkoani Kagera limethibitisha kumshikilia mlinzi wa Kagera Sugar Juma Said Nyosso kwa ...

MBUNGE MGIMWA NIPO TAYARI KUNYIMWA KURA KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA 2020

  Mbunge wa jimbo la Mufindi kaskazini Mahamuod Mgimwa aikiongea na baadhi ya walimu wa shule za...

WAZIRI JAFO - ZINGATIENI UBORA NA KUEPUKA WAKANDARASI WABABAISHAJI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akikagua Barabara...

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Barala la Mawazi...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek