Mwalimu auawa Kwa kukatwa Mapanga wakati akitoka kwenye mechi

By Edwin Moshi, 14w ago

Na Jonathan MusaWatu wasiojulikana wamemuua kwa kumkata mapanga mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kibumba B,Harun Musiba, iliyopo kata ya makurugusi wilayani Chato mkoani Geita.Tukio hilo limetokea usiku wa saa tano wa januari 13 wakati mwalimu huyo alipotoka kuangalia mpira kati ya Azam na URA ya inchini Uganda uliochezwa  jana Zanzibar.Kamanda wa polisi mkoani Geita Mponjoli Mwabulambo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema hawezi kuzungumzia sana kwakua yuko njiani kwenda kwenye tukio na atatoa taarifa zaidi baadae.Afisa habari wa halmashauri ya Chato Richar Bagolele amesema mwal...

ZINAZOENDANA

Mauaji ya Akwilina: DPP afunga jalada la kesi, watuhumiwa waachiwa Huru

5h ago

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga amesema, jalada la kesi ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo ...

Naibu Waziri: Jeshi la Polisi Halina Muda wa Kulinda Maandamano

7h ago

BUNGE limeelezwa kuwa Jeshi la Polisi halina muda wa kulinda taasisi au chombo chochote kitakachotaka...

Hesabu kali! Simba, Yanga jipangeni

8h ago

VIGOGO wa soka mkoani Mbeya sio wa kuchezea kabisa unaambiwa, na kama mikakati yao itakwenda kama wal...

Zanzibar salama, kuna amani, utulivu

8h ago

KAMISHNA wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Mohamed Haji Hassan amesema wakati Jamhuri ya Muungano wa Tanza...

Polisi Atiwa Mbaroni Kwa Rushwa ya 250,000

10h ago

Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Kuhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) inamshikilia ofisa wa jeshi la polisi kw...

Hakuna polisi kulinda waandamanaji

11h ago

BUNGE limeelezwa kuwa Jeshi la Polisi halina muda wa kulinda taasisi au chombo chochote kitakachotaka...

Polisi Atiwa Mbaroni Kwa Rushwa ya 250,000

12h ago

Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Kuhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) inamshikilia ofisa wa jeshi la polisi kw...

Waliokataa Wito wa Makonda Kufikishwa kwa Kamanda Mambosasa

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amewaonya wanaume waliokataa wito wa kuitwa kwao kuhusiana na malezi ya...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek