Hivi Ndivyo Rais Kagame alivyotua Tanzania Hii leo

By Edwin Moshi, 1w ago

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amewasili  nchini leo Jumapili, Januari 14 kwa ziara ya siku moja.Rais Kagame aliyepokewa na mwenyeji wake Rais John Magufuli,  baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius  Nyerere (JNIA) alielekea katika chumba maalum na kukaa kwa takribani dakika 30.Aliondoka uwanjani hapo saa 4:47 asubuhi kuelekea Ikulu ambako atafanya mazungumzo na Rais Magufuli.Hii ni mara ya pili kwa rais huyo kutembelea Tanzania tangu mwaka 2015,  mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2016 ambako alishiriki maonyesho ya 40 ya kimataifa ya biashara (sabasaba)....

ZINAZOENDANA

Babu Seya na Papi Kocha Kuwaanda Mashabiki Kwa Ujio Mpya.

Wasanii wa muziki wa dansi baba na mtoto wake wameanza kuwandaa mashabiki wao kukaa mkao wa kula kwa ...

WAZIRI JAFO - ZINGATIENI UBORA NA KUEPUKA WAKANDARASI WABABAISHAJI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akikagua Barabara...

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Barala la Mawazi...

Rais Dkt Magufuli apokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi Sita kutoka nchi mbalimbali Ikulu

8h ago

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi...

Watalii Milioni 3 watembelea Afrika 2017

8h ago

Na Jumia Travel TanzaniaIdadi ya watalii duniani imekuwa kwa kiwango cha 7% mwaka 2017 na kufikia ida...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek