Rungwe: Siri ya Lowassa na Magufuli Lazima Tuijue

By Edwin Moshi, 1w ago

Mwenyekiti Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Hashim Rungwe Spunda amefunguka na kusema hakuna tatizo Lowassa kukutana na Rais Magufuli lakini amedai kuwa ni lazima tujue watu hao walipokutana Ikulu walizungumza nini kwani sasa imebaki siri yaoRungwe amesema hayo alipohojiwa na moja ya chombo cha habari nchini na kudai kuwa Lowassa hapaswi kulaumiwa ila tu ni lazima aweke bayana kile ambacho alikaaa na kuzungumza na Mhe. Rais Magufuli ili Watanzania wajue jambo hilo lina maslahi wapi. "Hatujui walichozungumza maana mpaka sasa hakuna mtu hata mmoja ambaye anafahamu watu hao wamezungumza ...

ZINAZOENDANA

Babu Seya na Papi Kocha Kuwaanda Mashabiki Kwa Ujio Mpya.

Wasanii wa muziki wa dansi baba na mtoto wake wameanza kuwandaa mashabiki wao kukaa mkao wa kula kwa ...

WAZIRI JAFO - ZINGATIENI UBORA NA KUEPUKA WAKANDARASI WABABAISHAJI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akikagua Barabara...

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Barala la Mawazi...

Rais Dkt Magufuli apokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi Sita kutoka nchi mbalimbali Ikulu

8h ago

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi...

Watalii Milioni 3 watembelea Afrika 2017

8h ago

Na Jumia Travel TanzaniaIdadi ya watalii duniani imekuwa kwa kiwango cha 7% mwaka 2017 na kufikia ida...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek