Mwakifamba Alalamikia Kitendo cha Wastara Kuomba Msaada.

By Ghafla Tanzania, 18w ago

Raisi  wa shirikisho la filamu Tanzania Simon Mwakifamba amelalalmika kitendo cha msanii wa kike Wastara Juma  kuomba msaada katika vyombo vya habari na kwa viongozi na kulalamika kuwa hapatiwi msaada wowote ilhali hakuwahi kusema taarifa hizo kwa uongozi wake tangu alipogundua kuwa hawezi kusiamama peke yake bila kupatiwa msaada. Mwakifamba anasema kuwa kwa muda mrefu wamekuwa wakijua Wastara ni mgonjwa na anaendelea na matibabu lakini taarifa za sasa kuwa anahitajika kwenda India na hana ela kwa ajili ya matibabu hazijawafikia viongozi hao rasmi kwaio wameshindwa kujua zaidi ya kuona k...

ZINAZOENDANA

Waziri Majaliwa kufungua vituo vikubwa vya Polisi

1h ago

Waziri Mkuu,Kasimu Majaliwa, Mei 24 mwaka huu anatarajiwa kufungua vituo vitatu vikubwa vya Polisi ka...

SHIDA YA UMEME KUSINI IMEKWISHA - MAJALIWA

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema shida ya umeme iliyokuwa inaikabili mikoa ya Lindi na Mtwara...

Polisi Yafunguka Chanzo cha Ajal Iliyowaua Maofisa Watatu wa TIC

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limesema uzembe wa dereva aliyekuwa akiendesha gari aina ya LandCruiser...

MAJALIWA AZINDUA MRADI WA UPANUIZI WA KITUO CHA KUFUA UMEME KWA GESI ASILIA MTWARA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Mradi wa Upanuzi wa Kituo cha Kufua Umeme kwa Gesi Asilia Mtwa...

SHIDA YA UMEME KUSINI IMEKWISHA - MAJALIWA

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema shida ya umeme iliyokuwa inaikabili mikoa ya Lindi na Mtwa...

SHIDA YA UMEME KUSINI IMEKWISHA - MAJALIWA

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema shida ya umeme iliyokuwa inaikabili mikoa ya Lindi na Mtwa...

Ukaidi wa dereva waua watatu ajali ya basi K'jaro

3h ago

Watu watatu wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugong...

Polisi wasema dereva chanzo ajali iliyoua watatu Chalinze

3h ago

Ajali hiyo imetokea jana jioni na kusababisha vifo vya watumishi watatu wa Serikali, wengine wawili k...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek