'€œMwambieni Uchebe Mwanamke Hachungwi'€ Dogo Janja

By Ghafla Tanzania, 5w ago

Mwanamuziki wa Bongo fleva anayefanya vizuri kunako tasnia hiyo Dogo Janja amempa ushauri mwanaume mwenzie Uchebe ambaye ameingia kwenye ndoa hivi karibuni ambapo amemfungukia na kumuasa kutomchunga mkewe Shishi. Ikiwa miezi michache tu imepita tangu ndoa iliyofunga mwaka ifungwe kati ya Irene Uwoya na Dogo Janja ndoa iliyoongelewa sana na ndoa iliyofungwa kwa usiri Mkubwa sana. Pamoja na ndoa ilikuwa ya siri na maisha yao yamekuwa ya siri sana mbali na mitandao ya kijamii lakini juzi kwenye harusi ya Shilole na Uchebe wawili hawa wameonekana hadharani kwa mara ya kwanza. Kwenye sherehe hiyo y...

ZINAZOENDANA

Rich Mavoko Amkana Lulu Diva Hadharani

Mwanamuziki wa Bongo fleva kutoka kundi kubwa kabisa la WCB, Rich Mavoko amemkana hadharani msanii mw...

'€œNipo Tayari Kuzaa Mtoto Mwingine'€- Aikah

Mwanamuziki wa Bongo fleva kutoka kundi la Navykenzo, Aikah Navykenzo amefunguka kuhusu mipango yake ...

Ali Kiba Azidi Kupaa na Kuenda Level Nyingine

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva anayefanya vizuri na wimbo wake wa 'seduce me' Ali Ki...

Baraka the Prince:Nisingekuwa Msanii Ningekuwa Mwanajeshi.

Msanii wa muziki wa bongo fleva nchini Baraka the Prince amefunguka na kusema kuwa endapo hasingekuwa...

Young Killer Athibitisha Kuachana na Miss Hip-Hop

Mwaka 2016 msanii wa musiki bongo  Young Killer wa Msodoki alitangaza kumuoa mwanamke aliyesema ku...

Rayuu Agomea Ndoa, Asema Kuolewa ni Utumwa.

Wakati watu wengine hasa wasichana katika tasnia wakililia ndoa na kutamani kuingia katika taasisi hi...

MAMA SALMA KIKWETE AZITAKA MAMLAKA KUTOA HAKI KWA WANAWAKE WALIOTELEKEZWA

16h ago

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya nne na Mbunge wa kuteuliwa, Mama Salm...

Serikali Yapiga Marufuku Matangazo ya Kuongeza Makalio

16h ago

Serikali kupitia Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Tanzania (TFDA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polis...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek