Uteuzi mwingine wa Rais Magufuli kwenda TANESCO

By Bongo 5, 5w ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Titus Mwinuka kuwa Mkurugenzi Mtendandaji wa Shirika laUmeme Tanzania (TANESCO). Kabla ya uteuzi huu Dkt. Titus Mwinuka alikuwa akikaimu nafasi hiyo. Dkt. Titus Mwinuka Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! […]

ZINAZOENDANA

Rais wa FIFA kufanya majadiliano na waandishi wa habari za Michezo

26m ago

Na Anitha Jonas - WHUSM Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Duniani (FIFA) kufanya mkutano...

Makamu Wa Rais Aagiza Kila Shule Ya Sekondari Kuwa Na Maabara

44m ago

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi wa mkoa...

WAZIRI JAFO AAGIZA WAWEKEZAJI WENYE MASHAMBA PORI KISARAWE WANYANG'ANYWE NA YARUDI KWA WANANCHI

 Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tamisemi Seleman Jafo akizungumza na wananchi wa kijiji cha  kima...

Koigi Wa Wamwere: Ni wa pili kufungwa miaka mingi kisiasa

1h ago

Mwanasiasa Koigi wa Wamwere akipambana kuona kwamba kuna utawala bora na haki nchini Kenya ameshawahi...

Waziri Mkuu: Vijiji Vyote Kupatiwa Maji Safi Na Salama

1h ago

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Misungwi kuwa vijiji vyote vitapati...

Je, Morgan Tsvangiria Alipewa Sumu ya Kummaliza Taratibu?

Mengi yanaweza kuelewa, lakini kikubwa ni kwamba mpinzani wa kweli nna mwanafunzi kindakindaki wa Zim...

Makamu Wa Rais Awahakikishia Wananchi Upatikanaji Wa Dawa Za Kuuwa Wadudu Waharibifu Wa Pamba

2h ago

Na Stella Kalinga, SimiyuMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan a...

Bariadi Wampa Heshima Makamu Wa Rais...... Barabara Yapewa Jina La Samia

2h ago

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akishuhudia barabara iliyopewa jina lake Bariadi mj...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek