Steve Nyerere Akanusha Kuumwa UKIMWI.

By Ghafla Tanzania, 4w ago

Msanii wa maigizo na filamu bongo ambae pia ni mchekeshaji Steve Nyerere amekanusha  taarifa zinazosambaa kuwa anaumwa UKIMWI.Steve Nyerere ambae wiki chache zilizopita alitangaza kuwa anaumwa sana na kwamba kama kuna mtu yeyote amemloga basi amsamehe kwa sababu maumivu hayo yamekuwa yakimtesa sana na kwamba mpaka sasa bado hajajua chanzo cha ugonjwa huo. Steve Nyerere alipokuwa anaongea na waandishi wa habari alisema kuwa amesikia watu wakimuongelea na kusema kuwa anaumwa ukimwi lakini yeye kitu kinachomsumbua sio ukimwi bali ni maumivu ya mgongo na miguu inayomfanya kushindwa kuendelea na...

ZINAZOENDANA

Hii Ndiyo Michepuko Iliyosababisha Diamond Kutoswa na Zari

Habari za Diamond na Zari kuachana bado zinatawala kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakiwa wames...

Kauli ya polisi kufuatia Mtu Mmoja Kupigwa Risasi Kwenye Maandamano ya CHADEMA Jana

16h ago

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amekiri mtu mmoja kupigwa risasi n...

Ndugu wa wanandoa waliokamatwa China kujadili malezi ya mtoto

16h ago

Kamishna wa Intelejensia wa Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya, Frederick Kibuta amesema Jumatat...

Polisi yafunguka sakata la kupiga mtu risasi maandamano ya Chadema

16h ago

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amekiri mtu mmoja kupigwa risasi n...

Bondia Francis Cheka apewa Ubalozi-Mtwara.

16h ago

Chama cha Urafiki wa Wananchi wa Nchi ya Tanzania Na Msumbiji TAMOFA Kimempa Ubalozi Bondia wa Kimata...

Polisi Wakiri Kumpiga Risasi Mwanafunzi wa NIT

16h ago

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Lazaro Mambosasa amakiri kwamba mtu mmoj...

Hii ndiyo 'michepuko' iliyosababisha Diamond kutoswa na Zari

16h ago

Habari za Diamond na Zari kuachana bado zinatawala kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakiwa wames...

Kauli ya polisi kufuatia Mtu Mmoja Kupigwa Risasi Kwenye Maandamano ya CHADEMA Jana

20h ago

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amekiri mtu mmoja kupigwa risasi n...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek