shule ya Lupalilo Sekondari yakosa umeme zaidi ya mwezi mmoja sasa

By Issa Michuzi, 18w ago

Shule ya sekondari ya Lupalilo inakabiliwa na ukosefu wa nishati ya umeme kwa zaidi ya mwezi mmoja hivi sasa, baada ya Transfoma iliyokuwepo kuungua na kusababisha kukwama kwa shughuli mbalimbali shuleni hapo ikiwemo wanafunzi kushindwa kujisomea usiku pamoja na kuhatarisha usalama wa wanafunzi baada ya kukosekana kwa nishati hiyo hasa nyakati za usikuAkizungumzia Hali hiyo makamu mkuu wa shule Mwalimu LUNANILO KILATU amesema ni zaidi ya mwezi mmoja sasa wamekosa nishati hiyo baada ya transfoma kuungua na kupelekea baadhi ya shughuli kukwama shuleni hapo ikiwemo wanafunzi ku...

ZINAZOENDANA

WABUNGE WA MIKOA YA KUSINI WAIMWAGIA SIFA SERIKALI NA TANESCO KWA KUMALIZA KERO YA UMEME MTWARA NA LINDI

5m ago

WABUNGE wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara, wameimwagia sifa...

Watakaohujumu Miundombinu Tanesco Kukiona

1h ago

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuilinda na kuitunza miundombinu ya Shirika la Umem...

UBALOZI WA KUWAIT NCHINI WAANDAA FUTARI KATIKA WILAYA YA KIGAMBONI

2h ago

 Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa wamesh...

WATAKAOHUJUMU MIUNDOMBINU TANESCO KUKIONA

15h ago

Hadija Omary, Lindi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuilinda na kuitunza miundombin...

Makanga 3 Power; Dawa Bora Nguvu Za Kiume

15h ago

Kutibu nguvu za kiume dakika(10) na kupona muda wa siku tatu tuu. Kuimarisha misuli ya uume uliolegea...

VIJANA WATAKIWA KUSIMAMA KIIMANI ILI WAFANIKIWE

16h ago

 Mbunge wa Kasulu Vijijini Augustine Vuma akizungumza wakati wa Kongamano la tatu la Panda ka...

Serikali Yasisitiza Kutowapa Mikopo Wanafunzi Waliosoma Shule Binafsi....Vipaumbele Vyake ni Kwa wasio Na Uwezo

19h ago

Serikali imesema kuwa mwanafunzi aliyemaliza shule binafsi inachukuliwa moja kwa moja kuwa anauwezo w...

Makanga 3 Power; Dawa Bora Nguvu Za Kiume

19h ago

MAKANGA 3 POWER; DAWA BORA NGUVU ZA KIUMEKutibu nguvu za kiume dakika(10) na kupona muda wa siku tatu...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek