'€œNilimuona sio mchezaji mzuri kumbe ameambiwa amerogwa'€-Kocha Simba SC

By Millard Ayo, 5w ago

Simba leo January 18 2018 ilicheza game yake ya 13 ya Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Singida United na kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-0, baada ya game kaimu kocha mkuu wa Simba Masoud Djuma aliongea na vyombo vya habari kuhusiana na mchezo. Masoud ameeleza kuwa wachezaji kama Mavugo hakumpanga kwa sababu hayupo fiti […]

ZINAZOENDANA

Mtoto wa Didier Drogba apata shavu ligi kuu ya Ufaransa

18m ago

Klabu ya soka ya En Avant de Guingamp ambayo inashiriki ligi kuu ya Ufaransa, imetangaza kumsajili mc...

Klabu ya ligi daraja la kwanza yaitoa Man City michuano ya FA

18m ago

Klabu  ya Wigan Athletic hapo jana ilizima ndoto za vinara wa ligi kuu ya Uingereza Manchester Cit...

Paul Simba Arati: Muuzaji kabichi aliyeishia kuwa mbunge

2h ago

Mbunge wa Dagoretti Kaskazini, Simba Arati, kwa sasa ana umri wa miaka 38.

Nina uhakika Simba watasonga mbele, Yanga wafanye kazi'€-Shaffih Dauda

2h ago

Vilabu vya Simba na Yanga vinatarajia kuiwakilisha Tanzania katika michuano ya Afrika leo na kesho mi...

'€œTumekuja na style ya kuwapapasa'€-Masau Bwire

11h ago

Baada ya Ruvu Shooting kupata ushindi wa ugenini wa magoli 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa...

Hivi ndivyo matokeo ya mechi za leo yalivyo badili msimamo mzima wa VPL

14h ago

Ligi kuu soka Tanzania Bara imeendelea tena hii leo kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja tofauti...

Manula aumia, Bocco ashindwa kupiga tizi

15h ago

Simba inahitaji sare ya aina yoyote ili kusonga mbele katika mashindano hayo ya Afrika

MTIBWA SUGAR YAPAPASWA NA RUVU SHOOTING 'MASAU BWIRE ATAMBA NA KUSEMA NI MWENDO WA DOZI TU'

Timu ya Ruvu Shooting baada ya kuanza msimu vibaya wa kufungwa magoli 7-0 na Vinara wa Ligi Kuu ya Vo...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek