Video-Alichojibu Okwi baada ya kutoonekana uwanjani kwa muda mrefu

By Shaffih Dauda, 18w ago

Emanuel Okwi hakuonekana uwanjani kwa mechi kadhaa za ligi kuu lakini pia hakuwa sehemu ya kikosi cha simba kilichoshiriki mapinduzi Cup Zanzibar na kutolewa katika hatua ya makundi. Amerejea siku chache kabla ya mchezo wa simba dhidi ya Singida United. Kutokuwepo kwa Okwi ndani ya kikosi cha Simba kulisababishwa mambo mengi kuzungumzwa, lakini katika mchezo huo […]

ZINAZOENDANA

MALINZI, WAMBURA WAPAMBANA KORTINI KISUTU

  OFISA Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface W...

Kombe la Dunia: Nafasi ya Misri itategemea gozi dhidi ya Uruguay

40m ago

Licha ya kujivunia huduma za fowadi matata wa Liverpool, Mohamed Salah aliyetawazwa Mfungaji Bora wa ...

Video: Zlatan ageuza ligi ya Marekani uwanja wa ngumi

42m ago

Japo umri umeonekana kuwa mkubwa kwa Zlatan Ibrahimovic lakini bado hajaacha utukutu wake hata kidogo...

Rage ahitaji muda kuijua Katiba mpya Simba

1h ago

Tayari mfanyabiashara maarufu na mwanachama wa Simba, Mohamed Dewji 'Mo' amekubali kuichukua Simba kw...

Wabunge Wa CUF Wamfagilia Rais Magufuli ....Wasifu Kasi Yake Na Waziri Mkuu Ya Uletaji Maendeleo

1h ago

WABUNGE watatu kutoka Chama cha Wananchi (CUF) mikoa ya Lindi na Mtwara wamepongeza kasi ya utendaji ...

Wambura analipwa Mil.7.....Kasema watia saini TFF walighushiwa

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface Wambura ...

Wambura analipwa Mil.7.....Kasema watia saini TFF walighushiwa

2h ago

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface Wambura ...

Njombe, Ndanda, Majimaji hazichekani

3h ago

Timu sita kutoka Ligi Daraja la Kwanza zimepanda kucheza Ligi Kuu Bara msimu ujao, na mbili kutoka li...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek