NIDA YAFANIKISHA SHEREHE ZA MAULID,MWINYI AWATAKA WAISLAMU KUFUATA MAAGIZO YA MTUME

By Issa Michuzi, 17w ago

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWaumini wa dini ya kiislamu Tanzania wametakiwa kufuata mafunzo na maagizo ya Mtume ili kuweza kupata dhawabu mbele za Mwenyezi Mungu.Hayo yamesemwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar Zuber alipokuwa katika hafla ya Maulidi iliyoandaliwa na Kiwanda cha NIDA textile Mills|(T) ltd NAMERA GROUP OF INDUSTIES. amabapo amewataka Waumini wa dini hiyo kusikiliza na kufuata  maamulisho ya Mwenzi Mungu.Amesema kufanya matendo mema ikiwa na kufanya maulid kunamfanya mwanadamu kupanda daraja kwa kile ambacho anakitoa kwa ajili ya Mwenyezi Mungu.Aidha amesema waisla...

ZINAZOENDANA

Jaji Warioba matatani

8m ago

*Mtendaji TBA aagiza afukuzwe alikopanga *Yono wakabidhiwa kazi ya kumwondoa *Amri ya Mahakama inayom...

Sugu asimamisha Bunge

16m ago

SIKU 11 baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, kuachiwa huru toka je...

Ripoti ya Ufisadi Mali za CCM Yatua kwa Rais Magufuli

60m ago

Tume ya kuhakiki mali za Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyoundwa na Rais John Magufuli, imebaini madudu...

ULEGA AFUNGUA MSIKITI, AZUNGUMZIA UMEME KUANZA KUSAMBAZWA VITONGOJI VYA MKURANGA

1h ago

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiNAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Mkuranga Abdallah Uleg...

JPM akabidhiwa ripoti uchunguzi mali za CCM

1h ago

Rais John Magufuli jana amekabidhiwa ripoti na tume iliyohakiki mali za CCM katika ofisi ndogo ya CCM...

'Natakiwa Kuombwa Msamaha, Nimetumilia Kifungo Bila Sababu ya Msingi' - Sugu

Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA) Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amedai kwamba anatakiwa kuombwa msa...

Wabunge Wa CUF Wamfagilia Rais Magufuli ....Wasifu Kasi Yake Na Waziri Mkuu Ya Uletaji Maendeleo

1h ago

WABUNGE watatu kutoka Chama cha Wananchi (CUF) mikoa ya Lindi na Mtwara wamepongeza kasi ya utendaji ...

Wambura analipwa Mil.7.....Kasema watia saini TFF walighushiwa

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface Wambura ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek