Maulid Mtulia wa CCM Awekewa Pingamizi

By Edwin Moshi, 4w ago

Wakati kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge katika majimbo ya Kinondoni na Siha, zikianza kwa vitimbi, mgombea wa CCM, Maulid Mtulia amewekewa pingamizi lenye vipengele vitano.Uchaguzi huo utakaoshirikisha vyama 12, utafanyika Februari 17 huku ukitarajiwa kuwa na mpambano mkali baina ya CCM na Chadema inayoungwa mkono na vyama vitano vya Ukawa ambavyo NLD, NCCR-Mageuzi, CUF ya upande wa Maalim Seif Sharif Hamad na Chaumma iliyojiunga hivi karibuni.Uchaguzi huo unafanyika baada ya waliokuwa wabunge, Godwin Mollel (Siha, Chadema) na Maulid Mtulia (Kinondoni, CUF) kujivua uanachama kwa maelezo kuw...

ZINAZOENDANA

DKT. MOLLEL ASHINDA UBUNGE SIHA MKOANI KILIMANJARO

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Siha mkoani Kili...

Mtulia Ashinda Ubunge Jimbo la Kinondoni

17m ago

Tume ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Maulid Mtulia wa Chama cha Mapinduzi(CCM) kuwa mshindi wa uchaguzi...

Tamko la CHADEMA kuhusu kuyakataa matokeo ya Uchaguzi wa marudio

33m ago

JANA February 18, 2018 Kumefanyika uchaguzi wa marudio katika Majimbo Mawili Jimbo la Siha na Kinondo...

Matokeo: Mtulia (CCM) atangazwa kushinda ubunge Kinondoni

59m ago

Mgombea wa CCM Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia ameibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa ubunge uli...

Breaking News: CCM Yaibuka Kidedea Ubunge Kinondoni

Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Maulid Mtulia ameshinda Uc...

Matokeo ya Uchaguzi: Dkt. Mollel Aibuka Kidedea Ubunge Siha

2h ago

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Siha mkoani Kili...

LIVE: Matokeo ya Uchaguzi Ubunge Jimbo la Kinondoni

 The post LIVE: Matokeo ya Uchaguzi Ubunge Jimbo la Kinondoni appeared first on Global Publishe...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek