Balozi Seif atoa miezi mitatu kufanyiwa matengenezo Ukumbi wa Mikutano wa Salama.

By Zanzi News, 17w ago

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  aliyevaa Miwani akifanya ziara ya kulikagua Jumba la Biashara lilipo Darajani Maarufu Jumba la Treni kuangalia harakati za ujenzi wa Jengo hilo.Kushoto ya Balozi Seif ni Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mheshimiwa Ayoub Mohamed Mahmoud.  Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar {ZSSF} Bibi Sabra Issa Machano akimueleza Balozi Seif hatua zilizochukuliwa za Ujenzi wa Jumba la Treni ambalo litakuwa Kituo cha Baishara. Balozi Seif akikagua jengo la Hoteli ya Bwawani na kuagiza kufanyiwa matengenezo ya Haraka ...

ZINAZOENDANA

Jaji Warioba matatani

4m ago

*Mtendaji TBA aagiza afukuzwe alikopanga *Yono wakabidhiwa kazi ya kumwondoa *Amri ya Mahakama inayom...

Sugu asimamisha Bunge

12m ago

SIKU 11 baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, kuachiwa huru toka je...

Ripoti ya Ufisadi Mali za CCM Yatua kwa Rais Magufuli

56m ago

Tume ya kuhakiki mali za Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyoundwa na Rais John Magufuli, imebaini madudu...

ULEGA AFUNGUA MSIKITI, AZUNGUMZIA UMEME KUANZA KUSAMBAZWA VITONGOJI VYA MKURANGA

58m ago

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiNAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Mkuranga Abdallah Uleg...

JPM akabidhiwa ripoti uchunguzi mali za CCM

1h ago

Rais John Magufuli jana amekabidhiwa ripoti na tume iliyohakiki mali za CCM katika ofisi ndogo ya CCM...

'Natakiwa Kuombwa Msamaha, Nimetumilia Kifungo Bila Sababu ya Msingi' - Sugu

Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA) Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amedai kwamba anatakiwa kuombwa msa...

Wabunge Wa CUF Wamfagilia Rais Magufuli ....Wasifu Kasi Yake Na Waziri Mkuu Ya Uletaji Maendeleo

1h ago

WABUNGE watatu kutoka Chama cha Wananchi (CUF) mikoa ya Lindi na Mtwara wamepongeza kasi ya utendaji ...

Wambura analipwa Mil.7.....Kasema watia saini TFF walighushiwa

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface Wambura ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek