Watalii Milioni 3 watembelea Afrika 2017

By Zanzi News, 17w ago

Na Jumia Travel TanzaniaIdadi ya watalii duniani imekuwa kwa kiwango cha 7% mwaka 2017 na kufikia idadi ya milioni 1,322, kwa mujibu wa matokeo ya hivi karibuni yaliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UNWTO). Kulingana na takwimu zilizoripotiwa kutoka sehemu tofauti duniani, inakadiriwa kwamba idadi ya watalii waliowasili duniani kote imeongezeka kwa 7% mwaka 2017. Hii ni ishara nzuri au zaidi ya kiwango kilichokuwepo cha 4% kilichodumu tangu mwaka 2010, hivyo kuonyesha matokeo mazuri ndani ya miaka saba. Kwa mujibu wa takwimu zilizopo kwa Afrika ambazo Jumia T...

ZINAZOENDANA

TBF YATANGAZA TAREHE YA KUANZA MASHINDANO YA MPIRA WA KIKAPU

2m ago

Na Zainab Nyamka, Globu ya jamiiSHIRIKISHO la Mpira Kikapu Tanzania(TBF) imetangaza rasmi tarehe ya ...

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKUTANA NA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO, DODOMA

Naibu  Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa, akizungumza na wananchi wa mtaa wa Mpamaa, Kata ya ...

Mwadui FC yabeba zigo la Ndanda kubaki Ligi Kuu

50m ago

Ndanda ambao wamekusanya pointi 23 wapo nafasi ya 15, ambapo wanapaswa kushinda mechi hiyo ili kuishu...

Kutoka Baraza la Wawakilishi leo

56m ago

Na Ali Issa na Bahati Habibu Maelezo Zanzibar 22/5/2018Serekali ya Mapindizi ya zanzbar ilitoa tahadh...

Ziara ya Kinana Afrika Kusini

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akimkabidhi Rais wa Chama Cha Ukumbozi wa Afrika Kusini (ANC) ...

Kamati ya Bunge Kumuhoji Mugabe Jumatano

Kamati ya Bunge imepanga kumhoji Rais wa zamani Robert Mugabe Jumatano kuhusiana na upotevu wa dola z...

.Marekani Wamuonya Kim Jong-un Watakapokutana na Trump

Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence amemuonya kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un kuwa asimchez...

Haji Manara Awaomba Radhi Mashabiki wa Simba

Afisa habari wa  Simba, Haji Manara amewaomba radhi mashabiki wa klabu hiyo kwa kitendo cha kiko...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek