Uchafu wote wa siasa za Zanzibar, umehamishiwa Tanganyika

By Mzalendo, 2w ago

Elbattawi Jumapili, Februari 11, 2018 TANGU mfumo wa kisiasa wa vyama vingi Tanzania (Tanganyika na Zanzibar), kuanza tena mwaka 1992 Chama cha Mapinduzi (CCM) ndicho kinachobuni hujuma zote za ukorofi, ukatili na uharamia dhidi ya upinzani na wananchi wanaokipinga. Kwa siasa za kisayansi CCM kimepoteza dira na mwelekeo, siasa safi zimewashinda, kwani kilipaswa kuwa mwalimu wa kuendesha siasa za kistaarabu na za wazi, ili wapinzani wasome. CCM ni chama kikongwe kinachofanya aina ya siasa za msituni. Kilipaswa kuwa chuo cha kufundishia vyama vipya vilivyoundwa baada ya mwaka 1992 na kuwa mwalim...

ZINAZOENDANA

Mnyika: "Wanataka kuifuta CHADEMA"

3h ago

Naibu Katibu Kuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Mhe. John Mnyika amefunguka na k...

Polisi: Diwani CHADEMA auawa kwa kisasi

3h ago

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Urich Matei amefunguka na kusema kuwa kifo cha Diwani wa Kata ya ...

CHADEMA Wamjibu Vikali Msajili wa Vyama Vya siasa

4h ago

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejibu barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji...

Tundu Lissu amvaa Jaji Mutungi, ampa neno zito

MWANASHERIA wa Chadema na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amemtaka Msajili wa Vyama vya Sias...

Majibu ya CHADEMA kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini

6h ago

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejibu barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji...

Boko Haramu Nchini Nigeria,Wazazi wa wasichana waliotekwa washikwa na hasira

6h ago

Kumekuwa na ongezeko la hali ya hasira kwa wazazi wa wasichana wanaodaiwa kutekwa na kundi la wapigan...

Mashaga, Lwakatare kusuka au kunyoa BFT

7h ago

Uchaguzi huo unafanyika ili kupata viongozi wapya wa kuongoza shirikisho hilo kwa miaka minne ijayo.

Msajili wa vyama aitupia lawama CHADEMA mauaji ya Akwilina

7h ago

Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Mstaafu Francis Mutungi amekiandikia chama kikuu cha upinzani...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek