Serikali haramu ya SMZ: Ndio Wanao-endelea Kuizalilisha Zanzibar na Wazanzibari.

By Mzalendo, 2w ago

Asalamu aleikhum Ndugu zangu wazanzibari wa Nje na Ndani ya Visiwa Vyetu Adhimu. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Muumba wa mbigu na Ardhi (ASW) na kunijaalia kufika hapa tena na makala hii yenye kichwa cha habari hapo juu. 1. Serikali Haramu iliojiweka Madarakani: Sio Kalamagamba au mwenziwe Kalamaganda alie izalilisha Zanzibar, bali ni Serikali haramu isiochaguliwa na Wananchi ndio inayoendelea na itakayo endelea kuidhalilisha Zanzibar na Wazanzibari. Kwanini niseme hivo? Nasema hivo kwakuja na mifano hai ya kimaisha katika mfumo wetu sisi binaadamu. Ikiwa wewe binaadamu mwenyewe utajivunji...

ZINAZOENDANA

CHADEMA Wamjibu Vikali Msajili wa Vyama Vya siasa

4h ago

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejibu barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji...

MBUNGE WA CHALINZE AIOMBA SERIKALI KURUDISHA MAGOBOLE KWA WANANCHI

7h ago

Na MWandishin wetu  | Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete amemuomba Waziri wa Mali...

Mashaga, Lwakatare kusuka au kunyoa BFT

7h ago

Uchaguzi huo unafanyika ili kupata viongozi wapya wa kuongoza shirikisho hilo kwa miaka minne ijayo.

'Tofauti zetu ni upevu wa demokrasia Nasa'

8h ago

Muungano wa Nasa umeahidi kuendelea kupigania haki katika uchaguzi huku ukipinga kuwepo kwa migawanyi...

La Prof. Kabudi, Zanzibar na Mtego wa Komba - II

9h ago

February 23, 2018 Zanzibar Daima UCHAMBUZI 0 Katika sehemu ya kwanza ya mfululizo wa uchambuzi huu, M...

La Prof. Kabudi, Zanzibar na Mtego wa Komba - I

9h ago

February 22, 2018 Zanzibar Daima UCHAMBUZI 1 KOMBA amepewa sifa nyingi za ujanja. Kwa wanaomjua wanam...

SMZ imesema haina mpango wa kununua boti za kasi kwaajili ya usafiri

9h ago

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema haina Mpango wa kununua Boti za kasi kwa ajili ya usafiri w...

CHADEMA Wamjibu Msajilii wa Vyama vya Siasa

9h ago

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejibu barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek