Mwanasheria Mkuu wa Kenya amejiuzulu

By Millard Ayo, 14w ago

Stori kubwa kutoka +254 Kenya leo February 13, 2018 ni kuhusu Mwanasheria mkuu wa Kenya Prof. Githu Muigai amejiuzulu baada ya kuhudumu kwa miaka sita na nusu. Rais Uhuru Kenyatta amemshukuru Profesa Githu kwa huduma zake na sasa jaji Paul Kihara Kariuki atachukua nafasi yake. Kupitia ukurasa wake wa Twitter Rais Uhuru Kenyatta ameandika hivi […]

ZINAZOENDANA

Mtanzania ajipanga kunyakua taji mpira wa meza Kenya

21m ago

Dar es Salaam.  Mchezaji chipukizi wa mchezo wa mpira wa meza nchini, Sara Alidina anaanza kampeni...

Makamu wa Rais akutana na Wabunge washindi vijana, Mh. Masele na Mboni Mhita (+Picha)

27m ago

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na Wabunge vijana wa...

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MHE. STEPHEN MASELE (MB) NA MHE. MBONI MHITA (MB)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mbunge wa S...

Karia amshukuru Rais Magufuli

31m ago

Katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,  Simba na Kagera Sugar...

Wanasayansi Kenya wavumbua dawa ya Malaria kwa waja wazito

2h ago

Dawa hiyo imefanyiwa majaribio na imegunduliwa kuwa salama kwa matumizi ya kuzuia Malaria kwa wanawak...

MAKAMU WA RAIS AJUMUIKA NA WATU MBALIMBALI MKOANI DODOMA WAKATI WA FUTARI

2h ago

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Kati...

SHUKRANI ZA RAIS WA TFF WALLACE KARIA KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH.JOHN POMBE MAGUFULI

Jumamosi Mei 19,2018 tulikuwa na tukio kubwa la sherehe za kukabidhi Kombe la Mshindi wa pili Kombe l...

SMZ yafafanua nafasi ya Makamu wa Pili wa Rais

2h ago

Mwakilishi ahoji sababu za Katiba ya Muungano kueleza anayetambulika hadi sasa ni Waziri Kiongozi

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek