TIGO YATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA NYAKA NYAKA BONUS.

By Issa Michuzi, 1w ago

Kampuni inayoongoza kwa mageuzi ya kidigitali ya Tigo Tanzania, leo imewazawadia washindi 36 wa promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus simu aina ya Tecno R6 zenye uwezo wa 4G. Akitangaza washindi hao wa kwanza 36 waliopatikana katika promosheni hiyo inayoendelea kwa kipindi cha miezi mitatu, Meneja wa Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael alibainisha kuwa washindi 13 wanatoka Dar es Salaam, na wengine ni wakaazi wa mikoa ya Morogoro, Pwani, Tanga, Dodoma, Mtwara, Iringa, Mwanza na Arusha. 'Ofa hii kabambe ni sehemu ya ubunifu wa Tigo unaoendana na mahitaji ya wateja na utakaow...

ZINAZOENDANA

USAJILI WA TIGO KILI HALF MARATHON 2018 WAANZA

2d ago

Kampuni inayoongoza kwa mageuzi ya kidigitali nchini, Tigo Tanzania leo imetangaza kuanza kwa usajili...

USAJILI WA TIGO KILI HALF MARATHON 2018 WAANZA KUPITIA *149*20#

Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...

MSAADA UNAHITAJIKA KWA KIJANA JONES MBWAMBO.

5d ago

KIJANA JONES MBWAMBO ANASUMBULIWA NA TATIZO LA UVIMBE KATIKA UTI WA MGONGO AMBALO LIMESABABISHA KUPOO...

Wadhamini Kili Marathon wafanya amsha amsha

5d ago

Wadhamini wa Kilimanjaro Premium Lager Marathon wametoa wito kwa watanzania na washiriki wengine kuha...

Wadhamini Kili Marathon wafanya amsha amsha

5d ago

Wadhamini wa Kilimanjaro Premium Lager Marathon wametoa wito kwa watanzania na washiriki wengine kuha...

WASHINDI 36 WA PROMOSHENI YA NYAKA NYAKA BONUS WAZAWADIWA.

1w ago

Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kulia) akimkabidi Mariam Akida (kati) mkaazi wa...

Washindi 36 wa Promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus Wazawadiwa

Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kulia) akimkabidi Mariam Akida (kati) mkaazi wa ...

TIGO YATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA NYAKA NYAKA BONUS.

1w ago

Kampuni inayoongoza kwa mageuzi ya kidigitali ya Tigo Tanzania, leo imewazawadia washindi 36 wa pro...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek