SMZ Yatangaza Miongozo Kuelekea Ugatuzi

By Zanzi News, 1w ago

Na Maryam Kidiko, Maelezo Zanzibar, 13 Febuari, 2018KATIKA hatua ya ugatuzi iliyoanza kutumika rasmi hapa Zanzibar, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ,Mhe. Haji Omar Kheri, amesema serikali imeandaa miongozo miwili kwa ajili ya mabaraza ya Wadi na Kamati za mashauriano za shehia.Akizungumza leo na waandishi wa habari katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni mjini Unguja kuhusu na kuanzishwa kwa mabaraza ya kamati hizo, Waziri Kheri amesema miongozo hiyo itarahisisha utendaji kazi, kuimarisha utoaji huduma bora kwa ...

ZINAZOENDANA

Uchunguzi Wamrudisha Aveva Muhimbili, Malinzi Apata Ahueni

RAIS wa Simba, Evans Aveva, jana alishindwa kuhudhuria mahakamani katika kesi ya utakatishaji fedha i...

Makubaliano waliyoyafikia wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki

4h ago

Mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki umemaliza jioni leo tarehe 23 Februari,...

RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA KENYATTA NCHINI UGANDA

5h ago

        The post RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA KENYATTA NCHINI UGANDA ...

Jeshi la Kupambana na Ugaidi,Umoja wa Ulaya watoa Euro Milioni 50

6h ago

Umoja wa Ulaya umeahidi kutoa yuro milioni 50 kwa jeshi la pamoja la kupambana na ugaidi katika eneo ...

Wananchi zaidi ya 1200 wajitokeza Songamebele zinduzi wa Ujenzi kituo cha afya Kirando

7h ago

Zaidi ya wananchi 1200 wa kata ya Kirando inayojumuisha vijiji vinne vya Mtakuja, Mpata, Kichangani n...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek