YANGA, MAJIMAJI KUSHUKA DIMBANI KESHO TAIFA

By Issa Michuzi, 1w ago

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiMABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) Yanga, kesho wanashuka dimbani kuvaana na kikosi cha Majimaji ya Songea " Wanalizombe" katika mchezo wa raundi ya 18 kwenye dimba la Uwanja wa Taifa.Mechi hiyo itakayoanza majira ya saa 10 alasiri unatarajiwa kuwa wa ushindani kwa pande zote mbili,Yanga wakitaka kupata ...

ZINAZOENDANA

Simba Yapewa Siri Za Al Masry

MARA baada ya Simba kufanikiwa kufuzu kucheza Raundi ya Kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika, baadhi ...

SIMBA YAANZA KUJIFUA UWANJA WA VETERANI

6h ago

Na Agness Francis Globu ya jamii.  VINARA wa Ligi kuu Tanzania Bara Simba SC mara baada ya ...

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Kutumia Vitabu vya QUR-AN

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu  &n...

Kocha Rollers apania makubwa Afrika

8h ago

Msebria huyo amejinga kuhakikisha timu yake inafuzu kwa mara ya kwanza kucheza hatua ya makundi Ligi ...

YANGA YAREJEA NCHINI USIKU, YAANZA MAZOEZI KUJIANDAA NA LIGI KUU

MABINGWA Watetezi wa Ligi Kuu Bara wamerejea usiku wa kuamkia leo kwa mchezo wao wa kombe la FA dhidi...

Tanzania One 'Aishi Manula' akiri kazi ipo kwa Al Masry

9h ago

Mlinda lango wa klabu ya Simba na timu ya taifa ya Tanzania, Aishi Manula amesema kuwa michezo yao mi...

Arsenal yapewa AC Milan

9h ago

Bingwa wa Europa Ligi anapata tiketi ya kufuzu moja kwa moja kwa Ligi ya Mabingwa

Simba kazi moja kwa Al Masry Machi 9

10h ago

Mechi hizo za kimataifa zitachezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek