Nandy na Aslay matatani kwa tuhuma za kuiba wimbo

By Swahili Times, 1w ago

Mwanamuziki wa Bongo fleva anayefanya vizuri kwa hivi sasa Aslay pamoja na msanii wa kike mwenye sauti ya kipekee kutoka THT, Nandy wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kutishiwa kuburuzwa mahakamani baada ya kukopi wimbo bila ruhusa. Aslay na Nandy kwa sasa wanatamba na kibao chao kinachoitwa 'Subalkheri Mpenzi', kibao ambacho kinafanya vizuri katika chati mbali mbali za stesheni za redio, runinga na hata kukaa katika nafasi za mwanzoni katika mtandao wa YouTube. Kwenye ziara na vyombo vya habari ‘media tour’ waliyofanya katika jitihada za kutangaza nyimbo hiyo, As...

ZINAZOENDANA

'€œSitakubali Uchebe Aoe Mke Wa Pili'€- Shilole

19m ago

Msanii machachari kabisa wa Bongo fleva mwanadada Shilole amefunguka na kusema katu hatokaa akubali m...

Aslay apigwa faini milioni 5 na kikundi cha Utamaduni cha taarab asilia visiwani Zanzibar.

43m ago

Wasanii Aslay na Nandy wamepigwa faini ya milioni 5 kwa pamoja kutokana na kukiri, kukubali kosa kuim...

Vibe Records yahusika kumuombea Radhi Aslay

47m ago

Staa wa muziki kutoka Tanzania, Aslay Isihaka Nassoro 'Aslay' ameachia kazi yake mpya kw...

Abdukiba amefunguka baada ya video yake na fayvanny kusambaa kwenye mitandaoni

Mwanamziki wa bongo fleva kutokea king music, Abdukiba amekanusha vikali kutoka kimapenzi na mpenzi w...

Aslay na Nandy Wachapwa Faini ya Milioni 5 Kwa Wizi

Msanii wa Bongo fleva Aslay na msanii mwenzake Nandy wanaotamba hivi sasa na wimbo wao wa 'Suba...

New Music: Aslay - Nibebe

4h ago

Msanii wa muziki Bongo, Aslay ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Nibebe, producer wa ng...

Dayna nyange Aweka Wazi Tetesi za Kuwa Mjamzito na Baba Kijacho WakeN

Msanii wa kike  muziki wa bongo fleva Dayna Nyange amefunguka na kuwekawazi kwa tetesi zilizokuwa ...

Diamond Awapa Ujumbe Huu Watoto Wake

Mwanamuziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz ameendelea kukaa kwenye headlines za mitandao ya kijamii ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek