Nandy na Aslay matatani kwa tuhuma za kuiba wimbo

By Swahili Times, 14w ago

Mwanamuziki wa Bongo fleva anayefanya vizuri kwa hivi sasa Aslay pamoja na msanii wa kike mwenye sauti ya kipekee kutoka THT, Nandy wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kutishiwa kuburuzwa mahakamani baada ya kukopi wimbo bila ruhusa. Aslay na Nandy kwa sasa wanatamba na kibao chao kinachoitwa 'Subalkheri Mpenzi', kibao ambacho kinafanya vizuri katika chati mbali mbali za stesheni za redio, runinga na hata kukaa katika nafasi za mwanzoni katika mtandao wa YouTube. Kwenye ziara na vyombo vya habari ‘media tour’ waliyofanya katika jitihada za kutangaza nyimbo hiyo, As...

ZINAZOENDANA

Esha: Jokate Usinichukie Mimi Ni Bendera Fuata Upepo

32m ago

Muigizaji wa Bongo movie Esha Buheti ameendelea kumtolea povu zito mwanadada Jokate Mwegelo huku akim...

Linah Sanga: Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Mtoto

Mwanamuziki wa Bongo fleva Esterlina Sanga maarufu kwa Jina la usanii kama Linah Sanga amefunguka na ...

Diamond Platnumz: Sina Ndoto Ya Kuwa Mwanamuziki Milele

Mwanamuziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa hana mpango wa kuwa Mwanamuziki maisha ...

Shamsa Ford: Sina Bifu na Harmonize

Muigizaji wa Bongo movie Shamsa Ford amefunguka na kusema hana bifu lolote na staa wa muziki wa Bongo...

Mameneja Wa Diamond Wadaiwa Kuhusika na Kusambaza Video Ya Ngono Ya Nandy

Kama utakumbuka mwezi uliopita jiji zima lilizizima baada ya video ya ngono iliyomuhusisha msanii wa ...

Ali Kiba Amedai Kuwa Hata Kama Ni Staa Hawezi Kuishi Maisha Ya Kujionyesha

Staa wa muziki wa Bongo fleva Ali Kiba amefunguka na kudai kuwa pamoja na kuwa na umaarufu mkubwa lak...

PICHA: Wasafi Tv Wazindua Kipindi Cha Mwezi Mtukufu Wa Ramadhani

19h ago

Kituo cha televisheni cha Wasafi Tv kinachomilikiwa na staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, siku ya ...

Baby J Afunguka Ukweli Mchungu "Kiukweli kuolewa na staa ni stress"

22h ago

MSANII wa Bongo Fleva kutoka Zanzibar, Jamila Abdallah 'Baby J', aliyewahi kutamba na ng...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek