Nandy na Aslay matatani kwa tuhuma za kuiba wimbo

By Swahili Times, 14w ago

Mwanamuziki wa Bongo fleva anayefanya vizuri kwa hivi sasa Aslay pamoja na msanii wa kike mwenye sauti ya kipekee kutoka THT, Nandy wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kutishiwa kuburuzwa mahakamani baada ya kukopi wimbo bila ruhusa. Aslay na Nandy kwa sasa wanatamba na kibao chao kinachoitwa 'Subalkheri Mpenzi', kibao ambacho kinafanya vizuri katika chati mbali mbali za stesheni za redio, runinga na hata kukaa katika nafasi za mwanzoni katika mtandao wa YouTube. Kwenye ziara na vyombo vya habari ‘media tour’ waliyofanya katika jitihada za kutangaza nyimbo hiyo, As...

ZINAZOENDANA

Lulu Diva Kuchezea Kipigo Kizito Kisa Rich Mavoko

Msanii wa Bongo fleva Lulu Abbas maarufu kama Lulu Fiva anayefanya vizuri na kibao chake cha Ona alic...

Ali Kiba Atangaza Vita Na Mbwana Samatta Uwanja Wa Taifa

Mwanamuziki wa Bongo fleva Ali Kiba anayeendelea kufanya vyema na ngoma yake ya 'Mbumo wa Radi,...

Amini Awataka Wasanii Wakongwe Kufanya Muziki Unaokwenda na Wakati

Mwanamuziki wa Bongo fleva aliyefanya vyema kipindi cha nyuma Amini amewachana wasanii wakongwe kuwa ...

H.Baba- Wasanii Wanaishi Maisha Ya Uongo Ya Kuigiza Wana Pesa

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva aliyewahi kutamba miaka ya nyuma na kibao chake cha mpenzi bubu, H...

Q-Chillah Atangaza Kuendelea Na Muziki Aweka Kando Mawazo Ya Kuacha

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo fleva aliyewahi kutamba na kibao chake 'Ulinikataa' miaka y...

Ndoa ya FA Yapata Baraka Apata Mtoto wa Pili wa Kike

17h ago

Ipokee habari njema kutoka kwa staa mkongwe katika muziki wa Bongo Fleva Mwana FA ambaye amebahatika ...

Gigy Money Aomba Radhi Baada Ya Kukupa Makavu Hadharani Mzazi Mwenzake

20h ago

Mwanamuziki wa Bongo fleva Gift Stanford maarufu kama Gigy Money ameomba radhi baada ya ugomvi wake n...

Promoter maarufu Rwanda ataja sababu za muziki wa nchi hiyo kutofanya vizuri

21h ago

Wakati Bongo Fleva imefanikiwa kufika sehemu kubwa japo kwa kidogo, Jay kalambe wa Rwanda ambaye ni m...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek