YANGA NA LIPULI ZAPIGWA FAINI KILA MMOJA KWA KUINGILIA MLANGO HEWA

By Full Shangwe Blog, 14w ago

Mechi namba 122 (Lipuli 0 vs Yanga 2). Klabu za Lipuli na Yanga kila moja imepigwa faini ya sh. 500,000 (laki tano) kwa kutumia milango isiyo rasmi kuingia uwanjani, kitendo ambacho ni ukiukaji wa Kanuni ya 14(14) ya Ligi Kuu. Adhabu dhidi yao imetolewa kwa kuzingatia Kanuni ya 14(49) ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za …

ZINAZOENDANA

Karia amshukuru Rais Magufuli

34m ago

Katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,  Simba na Kagera Sugar...

Picha: Iniesta atua ligi ya Japan

1h ago

Mchezaji wa zamani wa Barcelona, Andres Iniesta amejiunga rasmi na klabu ya Vissel Kobe inayoshiriki ...

VAN DIJK: NIACHIENI RONALDO J'MOSI

1h ago

MERSEYSIDE, England   BEKI kisiki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amewatoa hofu mashabiki wa Live...

MASOUD DJUMA AKABIDHIWA TIMU SIMBA

1h ago

NA SAADA SALIM   KOCHA Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma, ndiye atakayeiongoza timu hiyo kwenye mi...

Makocha hawa wajiweka sokoni, rekodi zawabeba

1h ago

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikielekea ukingoni, makocha 12 wanatarajiwa kupandisha presha ya vigogo...

Lechantre ataja usajili Simba SC

1h ago

Simba imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu kwa mara ya kwanza baada ya kupita miaka mi...

SHUKRANI ZA RAIS WA TFF WALLACE KARIA KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH.JOHN POMBE MAGUFULI

Jumamosi Mei 19,2018 tulikuwa na tukio kubwa la sherehe za kukabidhi Kombe la Mshindi wa pili Kombe l...

Kikosi cha Azam Chaingia Kambini Kujinoa Dhidi ya Yanga

Kikosi cha Azam FC jana kimeingia kambi maalum kwa ajili ya maandalizi ya mchezo ujao wa ligi dhidi y...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Tembelea majibu.info, mtandao wetu wa maswali na majibu.
Tembelea mastoriz.com, mtandao wetu wa hadithi na simulizi.

Powered by Stonek