Makonda Awapa Onyo Kali Kampuni za Kukamata Bodaboda

By Udaku Specially, 1w ago

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda ametoa onyo kali kwa kampuni zinazofanya kazi ya kukamata Pikipiki (bodaboda) kwa mtindo wa kuvamia kitendo kinachohatarisha usalama wa Dereva na Abiria.RC Makonda amesema zipo baadhi ya kampuni zimekuwa zikivizia madereva wa Bodaboda kisha kuwavamia na kuwakamata na wakati huohuo kuwapiga kitendo ambacho amesema hawezi kukiruhusu kiendelee kwenye Mkoa wake.Mhe. Makonda ametoa onyo hilo wakati wa kikao na Madalali wanaotekeleza hukumu za Mahakama na Bank kilicholenga kuwatambua na kupitia nyaraka zinazowapa mamlaka ya kufanya kazi hiyo ili Wasione...

ZINAZOENDANA

Tusinyooshe Vidole Kifo cha Akwilina- Paul Makonda

18h ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka wananchi kuacha kunyooshea vidole na kurushia l...

Makonda: Tuache kunyosheana vidole dhidi ya Kifo cha Akwilina

1d ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewaomba wananchi wa Dar es salaam kuwa watulivu kipindi...

Makonda aamini Polisi watatoa majibu kifo cha Akwilina

1d ago

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anaamini Polisi watatoa majibu kuhusu kifo cha mwanafunzi...

Prof. Ndalichako aongoza wananchi kuuaga mwili wa Akwilina

1d ago

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amewaongoza viong...

RC MAKONDA ATEMBELEA SHULE ZILIZOONGOZA KWA UANDIKISHAJI MKUBWA WA WANAFUNZI

2d ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda jana amefanya Ziara kwenye Shule ya Msingi Mbande na ...

Rais Magufuli Aondoka Leo Kuelekea Uganda kwa Ziara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameondoka nchini leo kuelekea Ugand...

RAIS DKT MAGUFULI AONDOKA DAR ES SALAAM KUELEKEA KAMPALA NCHINI UGANDA

3d ago

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek