Makonda Awapa Onyo Kali Kampuni za Kukamata Bodaboda

By Udaku Specially, 5w ago

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda ametoa onyo kali kwa kampuni zinazofanya kazi ya kukamata Pikipiki (bodaboda) kwa mtindo wa kuvamia kitendo kinachohatarisha usalama wa Dereva na Abiria.RC Makonda amesema zipo baadhi ya kampuni zimekuwa zikivizia madereva wa Bodaboda kisha kuwavamia na kuwakamata na wakati huohuo kuwapiga kitendo ambacho amesema hawezi kukiruhusu kiendelee kwenye Mkoa wake.Mhe. Makonda ametoa onyo hilo wakati wa kikao na Madalali wanaotekeleza hukumu za Mahakama na Bank kilicholenga kuwatambua na kupitia nyaraka zinazowapa mamlaka ya kufanya kazi hiyo ili Wasione...

ZINAZOENDANA

Meya wa Jiji Ataka Watu 10 Waajiliwe Kwa Kuzika Wafu Waliokosa Ndugu

10m ago

Kama unadhani unazo sifa za shughuli za mazishi, kuna fursa hii iliyotangazwa katika Jiji la Dar es S...

Paul Makonda kuwasaidia wanawake waliotelekezwa na wanaume zao

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amewatangazia wawanake wote waliotelekezwa na waume z...

RC Makonda kula sahani moja na Wanaume wa Dar

14h ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewatangazia wawanake wote waliotelekezwa na waume zao na...

TANGAZO MUHIMU LA RC MAKONDA KWA WANANCHI WA DAR ES SALAAM

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. PAUL MAKONDA anawatangazia Wawanake wote waliotelekezwa na waume z...

RC Makonda kula sahani moja na Wanaume wa Dar

19h ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewatangazia wawanake wote waliotelekezwa na waume zao na...

Wanawake wa Dar waliotelekezwa na wanaume zao kusaidiwa na RC Makonda

21h ago

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amewatangazia wawanake wote waliotelekezwa na waume z...

Wanawake wa Dar waliotelekezwa na maume zao kusaidiwa na RC Makonda

21h ago

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amewatangazia wawanake wote waliotelekezwa na waume z...

Mhe. Makonda atoa ufafanuzi tukio la kushambuliwa kwa afisa ubalozi wa Syria

2d ago

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda ameshtushwa na taarifa zilizosambaa mitandaoni kuhus...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek