Zuma Kufuata Nyayo za Mugabe Akubali Kujiuzulu Atoa Sharti Hili

By Udaku Specially, 1w ago

RAIS wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameridhia kuondoka madarakani, baada ya wito uliotolewa na Chama chake tawala cha ANC kumtaka kujiuzulu ndani ya masaa 48. Zuma ameridhia kujiuzulu kwa sharti kwamba, atafanya hivyo baada ya miezi mitatu hadi sita kuanzia sasa, ambapo bado uongozi wa ANC haujatoa jibu iwapo umeridhia shartiANC kikiongozwa na Cyril Ramaphosa, jana kilituma ujumbe maalum kumtaka rais huyo kuachia madaraka, kutokana na harakati nyingi za kumtaka afanye hivyo tangu mwaka jana.Jacob Zuma anakabiliwa na tuhuma za rushwa na matumizi mabaya ya madaraka ambapo Bunge la nchi hiyo kujari...

ZINAZOENDANA

Uchunguzi Wamrudisha Aveva Muhimbili, Malinzi Apata Ahueni

RAIS wa Simba, Evans Aveva, jana alishindwa kuhudhuria mahakamani katika kesi ya utakatishaji fedha i...

Makubaliano waliyoyafikia wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki

4h ago

Mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki umemaliza jioni leo tarehe 23 Februari,...

RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA KENYATTA NCHINI UGANDA

5h ago

        The post RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA KENYATTA NCHINI UGANDA ...

Jeshi la Kupambana na Ugaidi,Umoja wa Ulaya watoa Euro Milioni 50

6h ago

Umoja wa Ulaya umeahidi kutoa yuro milioni 50 kwa jeshi la pamoja la kupambana na ugaidi katika eneo ...

Wananchi zaidi ya 1200 wajitokeza Songamebele zinduzi wa Ujenzi kituo cha afya Kirando

6h ago

Zaidi ya wananchi 1200 wa kata ya Kirando inayojumuisha vijiji vinne vya Mtakuja, Mpata, Kichangani n...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek