Mwakyepe Awapa Ujumbe Huu Bongo Movie

By Udaku Specially, 1w ago

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ameyataka mashirikisho ya Sanaa na Filamu kusimamia ubora wa kazi za sanaa ili kukidhi mahitaji ya walaji.Akiongea na viongozi wa Mashirikisho hayo leo ofisini kwake Mwakyembe amewataka kusimamia ubora kwani ndio kitu pekee kitawafanya mashabiki kuzipenda filamu za nyumbani."Ongezeni juhudi katika kusimamia uboreshaji wa kazi za sanaa na filamu ili ziweze kuthaminiwa na kukidhi matakwa ya walaji kwa kuwafanya kupenda vya kwetu", amesema.Kwa upande wake Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fisoo ameyataka Ma...

ZINAZOENDANA

POLAND KUFUNGUA OFISI ZA UBALOZI WAKE NCHINI TANZANIA

7h ago

Na Ismail Ngayonga.SERIKALI ya Jamhuri ya Poland mapema mwezi April mwaka huu inatarajia kufungua upy...

Hatimaye Poland kufungua tena ofisi za Ubalozi hapa nchini

9h ago

SERIKALI ya Jamhuri ya Poland mapema mwezi April mwaka huu inatarajia kufungua upya Ofisi za Ubalozi ...

VIDEO:UJUMBE WA RAIS WA POLAND WATUMA SALAMU ZA RAIS MAFUGULI KWA WAZIRI HARRISON MWAKYEMBE

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akisalimiana na Waziri...

UJUMBE WA RAIS WA POLAND WATUMA SALAMU ZA RAIS MAFUGULI KWA WAZIRI HARRISON MWAKYEMBE.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akisalimiana na Waziri...

LIGI KUU YA WANAWAKE YA SERENGETI PREMIUM LITE KUZINDULIWA RASMI NA WAZIRI MWAKYEMBE JUMAPILI

Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Premium Lite hatua ya Nane bora inataraji kuzinduliwa rasmi mkoani ...

Waziri Mkuu Akutana Na Rais Wa FIFA .....Aipongeza Kwa Kupambana Na Rushwa

15h ago

SERIKALI ya Tanzania inalipongeza Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa jitihada na hatua mbalimbali ...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek