KAMATI YA NIDHAMU YA TFF, YAKATAA MALALAMIKO YA NJOMBE MJI

By Full Shangwe Blog, 14w ago

Klabu ya Njombe Mji iliwasilisha malalamiko kuwa Tanzania Prisons ilimchezesha mchezaji James Mwasote katika mechi yao namba 126 ya Ligi Kuu ya Vodacom iliyofanyika Februari 3, 2018 wakati akiwa na kadi tatu za njano. Kamati imekataa malalamiko ya Njombe Mji FC kwa vile wakati James Mwasote anacheza mechi hiyo iliyofanyika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine …

ZINAZOENDANA

Mwadui FC yabeba zigo la Ndanda kubaki Ligi Kuu

53m ago

Ndanda ambao wamekusanya pointi 23 wapo nafasi ya 15, ambapo wanapaswa kushinda mechi hiyo ili kuishu...

Haji Manara Awaomba Radhi Mashabiki wa Simba

Afisa habari wa  Simba, Haji Manara amewaomba radhi mashabiki wa klabu hiyo kwa kitendo cha kiko...

Nataka kuona vijana wakitikisa Kombe la Dunia

2h ago

Ligi Kuu Hispania, England, Ufaransa, Ujerumani na kadhalika zimefikia kikomo.

Fainali Kombe la Shirikisho yanukia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

3h ago

Fainali hiyo imekuwa na umuhimu kwa kila timu kutokana na upande wa Ligi Kuu Bara, timu ya Simba kuta...

Manara awaomba radhi mashabiki, aahidi kutomnusuru Majimaji FC kushuka daraja

3h ago

Afisa habari wa  Simba, Haji Manara amewaomba radhi mashabiki wa klabu hiyo kwa kitendo cha kikosi...

Walioitibulia Simba 2010/2011 wamerudia tena

4h ago

LIGI Kuu Bara, msimu wa 2010/11, Simba SC ilishindwa kutetea ubingwa wake iliouchukua bila kupoteza m...

Waamuzi saba waliopita fainali Ligi ya Mabingwa wa Ulaya

4h ago

MWAMUZI wa kimataifa wa Serbia, Milorad Mazic ameteuliwa kuchezesha pambano la Jumamosi la fainali za...

West Brom kwa kocha Moore watarudi EPL

4h ago

WEST Bromwich Albion wameshuka daraja baada ya kuwa timu inayoshika nafasi za kati kwa muda mrefu, kw...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek