Mchezaji EPL ataafu soka akiwa na miaka 26 baada ya kupasuka fuvu la kichwa

By Bongo 5, 14w ago

Kiungo wa kati wa klabu ya Hull City nchini Uingereza Ryan Mason amelazimika kustaafu akiwa na umri wa miaka 26 kufuatia jeraha la fuvu la kichwa alilopata katika mechi dhidi ya Chelsea 2017. Mason ambaye aliichezea Uingereza mara moja 2015 alilazimika kufanyiwa upasuaji baada ya kichwa chake kugongana na kile cha beki wa Chelsea Gary […]

ZINAZOENDANA

West Brom kwa kocha Moore watarudi EPL

4h ago

WEST Bromwich Albion wameshuka daraja baada ya kuwa timu inayoshika nafasi za kati kwa muda mrefu, kw...

WABUNGE WATAKA MABILIONEA WA URUSI WATIMULIWE UINGEREZA

5h ago

LONDON, UINGEREZA SIKU moja tu baada ya kufichuka kuwa bilionea na mmiliki wa Klabu ya Chelsea ya hap...

#RoadToRussia, unapaswa kuyajua haya muhimu kuhusu Hispania

20h ago

Wahispania nao wametangaza jeshi lao linalokwenda kupambana nchi Urusi mapema mwezi ujao katika kombe...

Kombe la Dunia 2018: Mshambuliaji wa Chelsea Alvaro Morata aachwa nje ya kikosi cha Uhispania

1d ago

Mshambuliaji wa Chelsea Alvaro Morata ameachwa nje ya kikosi cha wachezaji 23 watakaowakilisha Uhispa...

Mourinho awageukia Lukaku, Fellaini

1d ago

Inadaiwa Lukaku na Fellaini walijumuishwa katika kikosi ambacho kingeivaa Chelsea kabla ya kuenguliwa...

Chini ya Kapeti, Meneja wa Chelsea Antonio Conte Kuondoka Chelsea

1d ago

Meneja wa Chelsea Antonio Conte anatarajiwa kuondoka Chelsea kwa saa 48 zijazo na nafasi yake huwenda...

Kitendo alichokifanya Willian sio cha kiungwana, safari ya Old Traford imekaribia

Msimu uliopita kulikuwa na habari kubwa sana jinsi Diego Costa alivyoondoka Chelsea, mengi yalisemwa ...

Conte kapiga mkwara

1d ago

Ukishinda unakuwa na raha sana. Ndivyo ilivyo kwa Atonio Conte amewachimba mkwara Chelsea baada ya ku...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek