Adhabu alizopewa Juma Nyoso na TFF

By Millard Ayo, 1w ago

Leo February 13, 2018 Shirikisho la soka nchini TFF kupitia Kamati yake ya  Nidhamu wametoa adhabu kwa Mchezaji wa Kagera Suga Juma Nyoso kutokana na kitendo cha kumpiga shabiki wa klabu ya Simba ambapo Nyoso amefungiwa kucheza mechi tano. Kamati ya TFF ilikutana February 10, 2018 pia imempiga faini ya Milioni moja mchezaji huyo, ambapo […]

ZINAZOENDANA

Simba Yapewa Siri Za Al Masry

MARA baada ya Simba kufanikiwa kufuzu kucheza Raundi ya Kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika, baadhi ...

SIMBA YAANZA KUJIFUA UWANJA WA VETERANI

6h ago

Na Agness Francis Globu ya jamii.  VINARA wa Ligi kuu Tanzania Bara Simba SC mara baada ya ...

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Kutumia Vitabu vya QUR-AN

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu  &n...

Tanzania One 'Aishi Manula' akiri kazi ipo kwa Al Masry

9h ago

Mlinda lango wa klabu ya Simba na timu ya taifa ya Tanzania, Aishi Manula amesema kuwa michezo yao mi...

Simba kazi moja kwa Al Masry Machi 9

10h ago

Mechi hizo za kimataifa zitachezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

LIGI KUU YA WANAWAKE YA SERENGETI PREMIUM LITE KUZINDULIWA RASMI NA WAZIRI MWAKYEMBE JUMAPILI

Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Premium Lite hatua ya Nane bora inataraji kuzinduliwa rasmi mkoani ...

Mbao FC yatonywa Simba haitaki mzaha

13h ago

Mchezo huo wa Ligi Kuu utapigwa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam ambapo Mbao FC wataingia ...

Yanga, Simba wampa mzuka Kipa wa Stand Utd

13h ago

Kocha wake alsema kila kukicha kiwango cha kipa huyo kinaimarika jambo ambalo amesema kama akiendelea...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek