TRL Yapata Hasara Bilioni Tano

By Mtembezi, 1w ago

Shirika la Reli Tanzania (TRL) limepata hasara ya takribani shilingi bilioni tano katika kipindi cha mwezi mmoja baada ya njia ya reli ya kati kusombwa na mafuriko katika Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro na Gulwe mkoani Dodoma. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakati wa ziara ya kukagua maendeleo […] The post TRL Yapata Hasara Bilioni Tano appeared first on Mtembezi.

ZINAZOENDANA

PROF. MBARAWA AWATAKA MAKANDARASI WAZAWA KUKAMILISHA MIRADI YA UJENZI KWA WAKATI

4d ago

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, amewataka makandarasi wazawa wa ...

Serikali Kumfikisha Mahakamani Mkandarasi wa Uwanja wa Ndege wa Songwe

Serikali imeagiza Mkandarasi jengo la abiria uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe uliopo katika Mko...

Waziri aagiza TBA ikamilishe miradi

5d ago

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa ameutaka Wakala wa Majengo ya Serik...

PROF. MBARAWA AWATAKA WANANCHI WA SIMIYU KUILINDA MIUNDOMBINU YA BARABARA.

5d ago

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, amewataka wakazi wa wilaya ya Maswa...

WAZIRI WA UJENZI AMTAKA MKANDARASI WA BARABARA YA BARIA-MASWA

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Mhe.Enock Yakobo akieleza juu ya Ujenzi wa mradi wa barabara ya Bar...

WAZIRI MBARAWA AITAKA TBA KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI

Meneja wa Wakala wa Majengo nchini(TBA) Mkoa wa Simiyu.Mhandisi.Likimaitare Naunga(katikati) akitoa m...

KAIMU MKURUGENZI WA VIWANJA VYA NDEGE AIOMBA SERIKALI KUTOA KIPAUMBELE UJENZI WA UWANJA WA NDEGE SIMIYU

6d ago

Na Stella Kalinga, SimiyuKaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka wa Viwanja vya Ndege nchini (TAA),  Ri...

WAZIRI MBARAWA AITAKA TBA KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI

6d ago

 Na Stella Kalinga, SimiyuWaziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa amemta...

Download Android App yetu hapa

Habari | Blogs List | Trending Now | Our App | Contact Us

Powered by Stonek